wanaoikosoa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Roma Mkatoliki: Siku hawa wanaoitwa wanaharakati, wakosoaji wa serikali na viongozi wakiamua kukaa kimya, ndiyo mtajua thamani yao

    Aminini nawaambieni. Siku hawa wanaoitwa wanaharakati, na hawa wanaoikosoa serikali na viongozi wakiamua wanyamaze wakae kimya wasiongee kitu, ndio mtajua thamani yao. Na zaidi mtauona umuhimu wa kukosoa!! Hakuna kikubwa wanachopata zaidi ya kupoteza vingi, Sana sana nyie ndio mnafaidika!!
  2. Balile amesema waandishi wanaoikosoa serikali ni Vibaraka wa upinde.

    Kwa mujibu wa Andiko la Boni Yai (EX-MAYOR Ameandika hivo kupitia andiko hili anaandika Boni Yai BALILE NI MWANDISHI AU DOLA..? MASWALI KUMI (12) KWA BALILE. 1.Balile anawezaje kugeuka kuwa mchomaji wa waandishi wenzake wa Habari..? 2.Balile aliyefundishwa kujifundisha na kukosoa jamii...
  3. PreGE2025 Luhaga Mpina: Rais hana kinga ya kutokosolewa. Watu wanatekwa ninyi mnapongezana, wanaoikosoa serikali wasizuiliwe

    CCM Kuna Watu wachache Wazalendo kwelikweli, Juzi alisiamam Dr Gwajima , Leo kasimama Mwanasiasa machachari , Luaga Mpina ============== Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameibuka na kukemea vikali vitendo vya utekaji vinavyoendelea kuripotiwa nchini Tanzania, akitaka uwajibikaji wa...
  4. PreGE2025 Mwenyekiti BAVICHA, Mahinyila: Vijana wanaoikosoa Serikali hawataisha, watu wanaokupinga huwezi kuwamaliza

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Deogratius Mahinyila, amesema kuwa Serikali inapaswa kutambua kwamba vijana wanaoikosoa hawataisha milele. "Watu wanaokupinga huwezi kuwamaliza" Soma, Pia Mwenyekiti BAVICHA, Deogratius Mahinyila anatoa tamko muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…