wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wananchi Dar wafurahishwa na Utaratibu wa Upigaji Kura

    Baadhi ya Wananchi waliojitokeza katika zoezi la Upigaji kura katika kituo cha shule ya msingi Viziwi Buguruni iliyopo Ilala Jijini Dar es Salaam wameonyesha kuridhishwa na jinisi ambavyo zoezi hilo ambalo linaloendelea katika kituo hicho. Wakizungumza na ManaraTv wananchi hao wameeleza sababu...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tanga: Mkuu wa Mkoa Batilda Buriani atoa wito kwa Wananchi kuondoka Vituoni baada ya Kupiga Kura

    Ikiwa ni siku iliyosubiriwa na watanzania kutekeleza demokrasia yao ya hatima ya Fyucha ya Kitaa, mkuu wa mkoa wa Tanga Batilda Buriani amewataka wananchi kuondoka eneo la kupiga kura mara baada ya kukamilisha haki yao ya kupiga kura.
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi Makampuni yalivyowahi / yanavyowaibia Wananchi kupitia Nishati na kujinufaisha wao na Vikaragosi vyao...

    Ni Hesabu ndogo tu... Gharama za Uzalishaji zikiwa kubwa basi na Bei ya Mtumiaji itaongezeka; IKIWA MZALISHAJI NI UMMA; Gharama za Uzalishaji zikiwa kubwa sababu Nishati ni Huduma huenda ikatolewa Ruzuku kupunguza hizo gharama au Mteja hana jinsi lazima atatumia tu IKIWA MZALISHAJI NI BINAFSI...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ukipiga Kura, Wananchi Washuhudie Hatua Zote, Ndiyo Kanuni ya Productivity

    Kuna kauli za kipuuzi zimetolewa na baadhi ya watu eti mtu akipiga kura aondoke, asishuhudie hatua nyingine, eti aende nyumbani asubirie kuambiwa nani ameshinda uchaguzi! Wengine wakathubutu hata kusema eti baada ya kupiga kura, wananchi wasipoteze muda, waende wakafanye kazi! Yaani leo ndiyo...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ally Hapi ahimiza Wananchi kujitokeza kupiga kura

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amehitimisha kampeni za chama hicho mkoani Mbeya kwa kuhimiza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Katika hotuba yake, Hapi alisisitiza umuhimu wa kampeni za...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ridhiwani Kikwete: Mapokezi ya Wananchi yanatoa ishara kuwa CCM itashinda kwa asilimia kubwa sana

    Ridhiwani Kikwete: Nikiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Cde. Mwinshehe Mlao Tumenadi Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi katika kata ya Bwilingu pamoja na kuendelea kuimarisha Chama kwa kuzindua mashina mapya Manne (4) ya wanachama wakereketwa katika kitongoji cha Bwilingu. Mapokezi ya...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wananchi wa Lupembe wako tayari kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wananchi wa jimbo la Lupembe wameeleza utayari wao kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika leo Novemba 27, 2024 Nchi nzima huku wakiweka wazi Matarajio yao kwa viongozi wapya watakaochaguliwa Wananchi hao akiwemo Fikiria Vicent Kisogole, Salvina Barton Mpolo na Martina Isdol...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Makonda: Wananchi twendeni tukapige kura ili tutengeneze serikali iliyo bora

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amewahimiza wakazi wote wenye sifa Mkoa wa Arusha kujitokeza kwa wingi kupiga kura hapo Kesho Jumatano Novemba 27, 2024 ili kuwachagua Viongozi wa serikali za Mitaa watakaoshirikiana na Viongozi wengine kujiletea maendeleo kwenye maeneo yao. Makonda...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: Wananchi zaidi ya milioni 1.7 wanatarajiwa kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Ikiwa kesho novemba 27 ni siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika jumla ya Wagombea elfu nne mia nne na nne wa vyama vyote vya siasa Mkoa wa Dodoma wamejitokeza kugombea nafasi mbalimbali huku watu zaidi ya milioni moja na laki saba elfu kumi na mbili mia nne sabini na mbili...
  10. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Philip Mpango awahimiza Wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi katika kushiriki zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho tarehe 27 Novemba 2024. Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati akizungumza na abiria...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mussa Zungu anapita mtaa kwa mtaa kuombea kura CCM. Haoni aibu jinsi mitaa na hali za wananchi zilivyokuwa mbaya?

    Wanabodi, Kama mnavyojua kuwa sasa hivi kampeni za serikali zinaendelea na jana Mbunge wa Ilala Mussa Zungu Ukiangalia mitaa ambayo alikuwa anapita ni mitaa ambayo barabara ni mbovu, hakuna mpangilio na hata mitaa haiko katika hali ya usafi. Anakutana na wananchi wanauza mihogo katika hali...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Njombe: Diwani Mpete akiwaelekeza Wananchi namna ya kuwapigia Kura viongozi wa CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wananchi wa Kata ya Utalingolo Halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe wamesema Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika hapo Novemba 27 mwaka huu watakwenda kumpigia kura kiongozi atakayekuwa wazi katika utendaji wake ikiwemo kusoma taarifa za mapato na matumizi kila baada...
  13. JamiiForums Tanzania Wananchi tunafeli wapi kununua tiketi?

    Bado uwanja Mtupu au mpaka hadi tusemwe ndio tununue tiketi,tulichozoea ni kunywa supu ila Azam na Tabora wamekatia ham ya supu. 😭😭 Tukutane kesho uwanjani mashabiki wa Yanga Sc 💚
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Babu Duni: CCM wakishinda kwa nguvu, Wananchi mmewaachia

    "Mimi ninasema mnadharau kwasababu mmekata tamaa, mnahisi mambo ni yaleyale...aah! ndiyo hivyo bana, CCM watachukua kwa nguvu; hawezi kuchukua kwa nguvu, wakichukua kwa nguvu maana yake mmewaachia, vijana mjiandae, mkipiga kura, mkishinda kataeni kunyang'anywa". Mwenyekiti mstaafu wa chama cha...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tanga: Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma(SAU), Majalio Kyara amewasihi Wananchi kutokuuza utu wao Serali za Mitaa

    Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma(SAU) Ndugu Majalio Kyara amewasihi wananchi kutokubali kuuza utu wao kwa kurubunika na kuchagua viongozi wasiofaa katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Pesa inatafutwa lakini utu hautafutwi msikubali kuuza utu wenu kwa kurubunika kwa njia yoyote. Hayo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na sintofahamu ya wananchi wanaohamishwa kutoka vijiji vya Utegi

    Kumekuwa na sintofahamu kwa wananchi wanaohamishwa kutoka vijiji vya Utegi, Wilaya ya Rorya. Hizi ni baadhi ya maswali yanayojitokeza: Hawa wananchi hawajaelezwa ni kwa nini wanahamishwa. Wananchi hawa hawajaelezwa ni wapi wanapopelekwa. Malipo yao hayakuzingatia tathmini kama ilivyo utaratibu...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Freddie: CCM haiwezi tena kutatua matatizo ya wananchi

    CHADEMA Jimbo la Same Mashariki wakiongozwa na Freddie wameendelea na kampeni za kuwanadi wagombea wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji huku wakizidi kuwasisitiza wananchi kuwa CCM haiwezi tena kutatua matatizo ya wananchi badala yake wachaguwe viongozi wa kutoka CHADEMA Pia wamesisitiza...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la kutangaza siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa siku ya mapumziko la mwaka 2024

    TAMKO LA KUTANGAZA SIKU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA SIKU YA MAPUMZIKO LA MWAKA 2024 KWA KUWA kifungu cha 3 cha Sheria ya Sikukuu za Kitaifa, Sura ya 35, kinampa Rais mamlaka ya kutangaza siku yoyote kuwa siku ya mapumziko kama nyongeza ya siku zilizoainishwa kwenye Jedwali la Sheria...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ruvuma: Kapinga ataka Wananchi kujitokeza kwa wingi Novemba 27 kupiga Kura

    Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga anaendelea na kazi ya kuhamasisha Wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma ili waweze kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka...
  20. JamiiForums Tanzania LGE2024 DC Malinyi, Waryuba awahakikishia wananchi Usalama na Amani kipindi cha Uchaguzi

    Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Sebastian Waryuba ameyasema hayo wakati aliposhiriki uchaguzi marathoni Wilayani Malinyi kwa lengo la kuhamasisha Wananchi kujitokeza kupiga kura Novemba 27, 2024. DC Waryuba amesema kuwa huu ni wakati sahihi kwa wananchi kutumia haki yao ya msingi na ya kikatiba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…