Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jacobs Mwambegele, amepinga madai kuwa wananchi na vyama vya siasa hawana imani na tume hiyo, akisisitiza kuwa wadau wote muhimu wanashirikishwa kikamilifu katika maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Akijibu swali la mwandishi...