wananchi wa tanzania

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Ni kama vile kila kukicha sheria zaidi zinatungwa kuwabana wananchi wa Tanzania, hadi nchi inakera sasa

    Yaani nchi hii mambo ya sheria za mambo madogo madogo ya maisha ya kila siku ya watu hadi inakera sasa. Mara sheria ya hiki,mara ya kile, mara sijui nini,hadi sasa tunakuwa sheria state. NI kweli sheria ni muhimu katika kufanya watu wawajibike katika uhuru wao, lakini kwa hapanchini naona sasa...
  2. Waziri wa Ulinzi ashuhudia Jeshi la Wananchi na Jeshi la Marekani wakisaini Makubaliano ya Ushirikiano Kijeshi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Rhimo Nyansaho (Mb), tarehe 12 Machi,2026, katika ofisi ndogo za Wizara ya Ulinzi na JKT, Upanga, jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Jimbo la Nebraska nchini Marekani (Nebraska National Guard)...
  3. Je, wananchi wa Tanzania tunaweza kujivunia nini kama nchi na sisi kama wananchi?

    Tujivunie nini kama nchi na sisi kama wananchi ?Je tujivunie hawa viongozi ambao wamejipachika madarakani bila kuchaguliwa na wanachi? Au tujivunie viongozi waliojaa viburi na wezi mafisadi wanaoendelea...
  4. Eric Shigongo: Ukisoma Ripoti za Uchumi wetu ni nzuri sana lakini Wananchi hawana fedha mfukoni

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa kauli yenye msisitizo mkubwa kuhusu hali halisi ya uchumi wa Tanzania, akiongea bungeni jijini Dodoma. Akizungumza katika kikao na wanahabari, Mbunge Shigongo amesema kuwa licha ya rekodi rasmi kuonyesha kuwa uchumi wa nchi unaendelea kukua...
  5. Jeshi la Wananchi wa Tanzania mko Tayari kwenda kulinda amani ya raia wa nchi ya Kongo lakini si kulinda Uhai wa Mtanzania,!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! "Jeshi la Wananchi wa Tanzania" mko bize kila mwaka kwenda kutuliza na kulinda amani ya wananchi wa Kongo lakini hamko Tayari katakata kulinda Uhai wa Watanzania wenzenu!Je Kuna uhalali wowote wa kutambulika kama "Jeshi la Wananchi wa Tanzania? au...
  6. Kutumia katiba na ilani ya CCM kumepelekea wananchi wa Tanzania kudumazwa kiakili, kifikra, kiroho na kimwili

    Hii ni kwa great thinkers tu. Habari zenu na poleni pia kwa majukumu. Kama mada inavyojieleza naomba tujadili wadau. Mimi naona mfumo wa elimu yetu baada ya uhuru haujaleta tija yoyote katika umma wa kitanzania ukilinganisha na mfumo wa elimu uliokuwepo kabla ya uhuru. Naomba tujadili kwa...
  7. Wananchi wa Tanzania tunaamini kuwa changamoto za kiuongozi, madai ya kimaadili na malalamiko mengine tuna uwezo wa kuyatatua mezani

    Team! Salaam! Hakuna taifa lisilokuwa na changamoto za kiuongozi, kimaadili na kadhalika. Tunachojivunia ni utayari wetu wa kupata suluhu za changamoto hizo kwa njia ya mapatano na usuluhishi mezani. Serikali yetu nayo iwe tayari kwa kushauriwa na kuendeleza makubaliano. Hakuna haja ya...
  8. Sisi Wananchi Wa Tanzania Tumeamua

    SEhemu ya maneno ya UTANGULIZI wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Inasema.... KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya UHURU, HAKI UDUGU na AMANIi: NA KWA KUWA misingi hiyo yaweza tu...
  9. Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), liko wapi? Mbona haki za wananchi wake zinakandamizwa na polisi?

    Wakuu, Moja ya Kazi yake sio kulinda Katiba ya nchi? Kwanini katiba ya nchi inasiginwa mchana kweupe na wao wapo wanaangalia bila hata kuchukua hatua yoyote? Ni kweli wameamua kuacha polisi kuonea wananchi? Hili si Jeshi la Wananchi? Na wananchi si ndio sisi? Au tafsiri ya wananchi ni...
  10. Ni nini chanzo na chimbuko la Upinzani nchini kutokubalika na kuaminika kwa wananchi wapiga kura wa Tanzania?

    Ni kwasababu hawana mipango na sera zinazogusa mahitaji muhimu ya kila siku ya wanainchi? Ni kwasababu ya ubinafsi, uchu na tamaa za vyeo na madaraka walionao, kiasi kwamba hawana muda wala haja ya kupambania changamoto za wananchi bali, wana nguvu sana kupambania masuala yanayohusu pesa...
  11. Ni hadaa na kujidanganya kwamba mahitaji muhimu sana ya wananchi wa Tanzania ni sheria za uchaguzi kubadilishwa

    Kumekuepo na hadaa za wanasiasa matapeli kuhubiri mabadiliko ya sheria za uchaguzi nnje kabisa ya wakati wa mabadiliko ya sheria na katiba, kana kwamba hayo ndiyo mahitaji muhimu zaidi kwa wananchi wa Tanzania kuliko maji, afya, elimu, kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara, miundombinu, usafirishaji...
  12. Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

    Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na mashambulizi mazito ya JWTZ yakiendelea idadi ya Askar wa M23 waliofaliki katika mashambulizi hayo imewekwa...
  13. PreGE2025 Madaraka Mabovu yanavyoendelea kuwatesa wananchi wa Tanzania kila siku

    Katika muktadha wa siasa za Tanzania, kuna changamoto nyingi zinazohusiana na utawala bora, uwajibikaji, na uhuru wa kujieleza. Viongozi wengi wanaonekana kuendesha shughuli za kiongozi kwa maslahi yao binafsi, huku wakiacha nguzo muhimu za uongozi ambazo zingesaidia kuinua maisha ya wananchi...
  14. Hivi Nchi za Mashariki ya kati zinatofauti gani na wananchi wa Tanzania?

    Wamebakia wanasiasa kubwatuka katiba mpya katiba mpya,wengine fulani katekwa,wengine njaaa,wengine kitukana mitandaoni. Upande mwengine umoja wa mataifa na waatabu kwa ujumla wameipa mamlaka nchi ya Israel kuvamia eneo lolote kwa mabavu huku wakibakia kuangalia na wengine kukemea/kubweka kama...
  15. TTCL hawana uwezo au ni hujuma kwa taifa na wananchi wa Tanzania?

    Tupo kwenye ulimwengu wa kasi kwa kila kitu ila TTCL kwenye huduma ya Internet wamelala au kukosa ubunifu. Mimi nimzaliwa wa Kilimanjaro na mtanzania ila jambo la mtando limekuwa kero sana kwenye baadhi ya vijiji vilipo chini ya mlima Kilimanjaro. Ukiangalia kwa sasa juu ya mlima huo...
  16. Wananchi wa Tanzania wanahitaji hamasa kubwa katika kujituma kutafuta hela halali na kuacha uvivu

    Nimekutana na watu wazima kadhaa wenye ujuzi katika eneo fulani, tatizo kubwa ni kwamba watu hao ni wavivu na tegemezi. Fikiria unamuita mtu ili akufanyie kazi fulani ambayo utamlipa, halafu mtu huyo anakuomba umlipie nauli ya kuja eneo kazi ilipo. Hii ni halali kweli? Au ni utegemezi wa...
  17. Rais Samia: JWTZ halina mpango wa kuvamia nchi yoyote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Miaka ya 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Uwanja wa Uhuru Dar es salaam, leo tarehe 1 Septemba 2024. https://www.youtube.com/live/osYsFlm-yM4?si=1Cpa3zDEHIfIEkcn "Jeshi letu...
  18. Rais Samia akitunuku Nishani ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

    https://www.youtube.com/watch?v=2hnFr5PaqRs Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitunuku Nishani ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) Ikulu Dar es Salaam, leo tarehe 29 Agosti, 2024.
  19. R

    Kwanini tumekubali kurudi kwenye siasa za chuki? Mbona wananchi wanaishi kwa amani? Viongozi wana hofu gani?

    Hakuna mwananchi anayeona kuna tishio au hali isiyo ya kawaida kwenye siasa. Ila viongozi wa kisiasa ni kama wamepaniki. Pamoja na mikutano yote waliyofanya bado nafsini mwao wanaamini wananchi wana njaa na wakiruhusiwa kuonyesha njaa zao kura zitapungua. Je makatazo haya hayapelekei kuathiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…