wanajeshi wa idf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa IDF waliangusha ndege isiyo na rubani ya Hezbollah

    Ushujaa halisi wa IDF. Wanajeshi wa IDF waliangusha Drone ya Hezbollah iliyokuwa imebeba mabomu, wakati huo huo askari wa IDF walikuwa wanahamisha majeruhi kutoka Mstari wa mbele kuwapeleka hospitali (Emergency-Evacuation)wanajeshi hao waliojeruhiwa kwenye mapigano huko kusini mwa Lebanon.!!
  2. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa IDF wakamatwa Ubelgiji kwa makosa ya uhalifu wa kivita Gaza

    Mamlaka za Ubelgiji zimesema ziliwakamata na kuwahoji kwa muda mfupi raia wawili wa Israel waliokuwepo kwenye tamasha la muziki la Tomorrowland wiki iliyopita, baada ya makundi yanayoiunga mkono Palestina kuwatuhumu kwa makosa ya kivita. Mwendesha mashtaka alisema walipokea malalamiko kwamba...
Back
Top Bottom