wanaharakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ataruhusu maandamo yoyote ya wanaharakati, vyama vya upinzani na hata chama chake?

    Hayati Magufuli alikomesha pasi na ajizi maandamo ya aina yoyote tofauti na mtangulizi wake Mzee JK. Hoja yake kubwa Hayati Magufuli kuhusu kuzuia maandamo ilikuwa ni muda wa kufanya kazi na haukuwa muda wa kuandamana. Aliweza. Ndipo kipindi ambacho kwa takribanI miaka mitano si wanavyuo...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaharakati huru bado wanahitajika?

    Jamani kitimtim tumekiona wote kundi la wanaojiita wanaharakati huru wakifanya yao kuunga juhudi na kushambulia watu kwa mdomo. Je, bado wanaharakati wa kiwango kile wanayo nafasi kwenye zama hizi?
  3. JamiiForums Tanzania Wanaharakati bado hawakubali, kwani kuna tatizo lingine?

    Nimeshangaa kuona bado wale wanaojiita wanaharakati kutokubali serikali ya mama. Vitu ambavyo walikuwa wanavilalamikia Mama Samia kishaonesha njia ya kuvitatua, Ila bado hawataki. Nazidi kushangaa kwanini ni kama wanalazimishaa hivi kumkosoa mama? Au ni biashara hii? Naona sio kawaida Au kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…