1. Watu hawana upendo kwa sababu wanakosa maarifa ya Mungu.
2. Watu hawana uvumilivu kwa sababu wanakosa maarifa ya Mungu.
3. Ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu wanakosa maarifa ya Mungu.
4. Watu hawana amani kwa sababu wanakosa maarifa ya Mungu.
5. Watu hawana ustahimilivu kwa sababu...
Askofu kibwetere alikuwa na wafuasi wake waliokosa maarifa na kumtegemea yeye kwa kila asemalo bila kupima madhara yake mwisho wa siku akawafungia kanisani na kuwachoma moto wakaangamia kwa kukosa maarifa yeye akatokomea kusiko julikana.
Hivi sasa hilo jambo naliona kwa wafuasi wa chadema...
Kiukweli hii Hali iliopo Sasa kwenye taifa hili n baya sana.
Taifa linakosa nguvu kazi hivihivi tumekuwa tukihitaji vibarua wa mashambani Cha ajabu vijana wa kiume huwapati wanapatikana wamama na wazee huku vijana wakishinda wanakula mirungu na pombe za buku wakipoza na korokoro la mchina...
Kuna hili bango linadaiwa kuonekana huko Dodoma katika Mkutano Mkuu wa CCM.
HIili bango kwangu ndio kaburi la Mbowe kwa wakati huu.
CCM wamekosa maarifa kwa kiasi kikubwa sana.
Sijui ni nani alishauri kitu kama hiki wakati huu Mbowe amechafuka.
Team Lissu sijui Mungu awape nini tena kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.