Jana nimekutana na balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe, Suzan S. Kaganda hazina ya Taifa.
Baada ya kumsikiliza vizuri, nimeamini kumbe Nchi yetu bado ina Wazalendo. Tatizo Wazalendo CCM hawataki wakae karibu na Wananchi. Mfano Balozi Polepole alipelekwa Cuba, Balozi Suzan kapelekwa and Zimbabwe...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, amewataka Watanzania wote kushiriki katika jukumu la udhibiti na usimamizi wa silaha, ili kulinda nchi yetu ikiwa ni utekelezaji wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
IGP Wambura ameyasema hayo Februari 3, 2026 jijini Dar es Salaam...
Mwambieni rais haramu na wambura na mgunda tuna chukulia wauwaji kama waasi wa nchi hilo jeshi sio la baba zenu mmelikuta na mtaliacha mtaona moto.
Hatucheki na wapumbavu wakatafute wapumbavu wenzao huko wakae wapige zogo sio sisi. watu hawa wanapaswa kutengwa kwa sasa kama wanafikiri mziki ni...
https://www.youtube.com/watch?v=-ZZrAoiAmqc
Uchunguzi wa DW umebaini ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vilitumia nguvu za kikatili dhidi ya raia wakati wa vurugu zilizofuata uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania.
Maandamano yalizuka katika miji mikubwa ikiwemo Mwanza...
baada
dw yathibitisha aina ya risasi
hapo
jeshi
jijini mwanza
kichwa
kumkamata
mauaji
mauaji ya oktoba 29
mpya
mwanza
oktoba
oktoba 29
polisi
risasi
ushahidi
wambura
Haya ni maombi maalum kwa Marekani wafanye kama walivyofanya kwa Maduro.
Watume vikosi vyao viwachukue Samia na Mafwele walioongoza kumteka na kumshikiria Thadei Kweka ambaye ni raia wa Marekani.
Tunajua US Embassy mnapitia sana humu JF. Fanyeni kweli.
Mambo si mambooooo!!
Vijana wadogo lakini Wenye Akili kubwaaaa ,Akili nyiiingi !!.
Toeni Pesa Bank.
Nunueni Vyakula Kwa ajili ya Wanafamilia.
Waandamani tuonane Field !!
Wakati wa uchaguzi mkuu mambo makubwa mabaya yalifanyika dhidi ya waandamanaji waliokuwa wanadai Haki siku ya tarehe 29.10.2025 hadi tarehe 04.11.2025 nchi iliingia gizani huku raia wake wakisulubiwa ipasavyo waliokuwa wakidai haki neno ( shoot to kill) lilikuwa nineno rahisi dhidi ya watawala...
Inspekta Jenerali Kamishna wa Polisi Camilius Wambura amewaonya vikali wale wote wanaoratibu na kupanga kufanya maandamano siku ya kupiga kura kuwa hawataachwa salama.
Ewe kijana tarehe 29/10 tafadhali kapige kura tulia nyumbani msiwape wazazi wenu ukiwa huwa wanatia huruma sana pale mnapokua...
Utangulizi
Mheshimiwa IGP Camilius Wambura,
Huwa nafuatilia utendaji kazi wa Jeshi la Polisi siku hadi siku. Matamko yako yote huwa nayasikiliza na kuyachambua pia.
Barua nyingi zinazoandikwa na Msemaji wa Polisi, David Misime, ziko vizuri na hubeba weledi wa hali ya juu.
Hata hivyo...
CHEGE WAMBURA AONGOZA KWA KURA 7,866 JIMBO LA RORYA - MARA
Mbunge aliyemaliza muda wake katika Jimbo la Rorya Mkoa wa Mara, Jafari Chege Wambura ameongoza katika kura za maoni kwenye jimbo hilo baada ya kupata kura 7,866.
Chege amewashinda makada wenzake wanne aliokuwa akigombea nao kwenye...
Wakuu
IGP Wambura ametoa onyo kali kuhusu amani kipindi hiki cha Uchaguzi.
Kasema kama unataka kuleta vurugu hama nchi nenda nyingine ukapeleke hizo vurugu
Source: Uhondo TV
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillius Wambura amesema matukio ya utekaji, ujambazi na uporaji yamedhibitiwa kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita.
IGP Wambura ameyasema hayo leo, Jumatatu Juni 9, 2025 jijini Dar es Salaam wakati wa kufunga Kozi ya Maafisa na...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi.
"Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025...
Huyu IGP wa sasa Camilius Wambura mbona hata kuongea Kiswahili hawezi, ni mtanzania kweli. IGP anatakiwa mtu kama Awadh Juma Haji au Jumanne Muliro, lazima awe very strong, anayeelewa mambo ya siasa na propaganda zake.
Hizi propaganda za utekaji tungekuwa na IGP strong zingeshamalizwa. IGP...
Kwa uchungu mkubwa Nabii ROLINGA amesema watanzania wamechoshwa na Polisi na Serikali kumwaga damu za Watanzania wasio na hatia. Ametaka watawala waache mara moja kutesa na kumwaga damu ya watanzania kwani inaleta LAANA katika nchi.
Ametaka kuwepo na mazungumzo ya kumaliza tofauti zilizopo.
Je...
IJP Camillus Mongoso Wambura ni Mkuu wa Jeshi la polisi, Jeshi ambalo uwepo wake ni kuhakikisha kuwa raia wanakuwa salama muda wote.
Lakini Jeshi la polisi ( si tu wakati yeye akiwa IJP) linapokuja suala la jinsi ya kusimamia mambo ya siasa, hasa haki za vyama vingine mbali ya CCM, Jeshi la...
BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KWA IGP, WAMBURA KUELEKEA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA.
📌 Kuimarisha ulinzi, doria na ukaguzi vyombo vya moto usiku na mchana.
📌 Kuondoa vizuizi na vituo vya ukaguzi maeneo hatarishi barabarani.
📌 Kufanya Operesheni maalum nchi nzima kupambana na wahujumu miundombinu ya...
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema litaendelea kujikita katika kubaini na kuzuia uhalifu kabla haujatokea katika jamii pamoja na kupunguza matumizi ya nguvu kwa mujibu wa sheria.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura leo Disemba 2, 2024 wakati akifungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.