The Makonde are an ethnic group in southeast Tanzania, northern Mozambique, and Kenya. The Makonde developed their culture on the Mueda Plateau in Mozambique. At present they live throughout Tanzania and Mozambique, and have a small presence in Kenya. The Makonde population in Tanzania was estimated in 2001 to be 1,140,000, and the 1997 census in Mozambique put the Makonde population in that country at 233,358, for an estimated total of 1,373,358. The ethnic group is roughly divided by the Ruvuma River; members of the group in Tanzania are referred to as the Makonde, and those in Mozambique as the Maconde. The two groups have developed separate languages over time but share a common origin and culture.
Naona watu wa Mara wanapewa sifa ambazo ni feki kama ikitokea ikapigwa risasi juu huwezi kumuona mkurya hata mmoja barabarani tunajuana watanzania ila watu walionishangaza ni wamakonde wale watu Hadi polisi waliushindwa mziki wao ilikua mtu akiuliwa basi na polisi lazima auwawe aisee big up...
Aisee nimeshangazwa sana aisee inaonekana wamakonde ndilo kabila lenye exposure sana aisee kwa hapo Tanzania maana nimeona karibia kila nchi wapo yaani wamakonde nawafananisha na wanaijeria au wakenya kwasababu huku nilipo yaani yues kwenye hili jimbo la Wisconsin kila ukikutana na wabongo wengi...
Kuna mtu mmoja amewahi kusema ntwara(mtwara ) haikuwa ndani ya Tanzania bali ulikuwa ukanda wa Msumbiji, Yawezekana yakawa ni ya kweli mimi sina uhakika.
Dondoo hizi zinahusu mambo ya kunishangaza ambayo nimewahi kuyaona ntwara
1. Ukitembea muda wa mchana utaona kana kwamba mji una vijana wa...
Huu ni uchunguzi wangu binafsi.
Ni kabila kubwa kabisa kusini yote na hata maneno ya kimakonde utayakuta kwenye lugha zao bila wenyewe kujua kuwa ni maneno ya kimakonde. Mfano, kule Kilwa yule ndege mkubwa mweusi mwenye mdomo mwekundu (ndege Ngoma) wanamuita 'nditi'. Kumbe hilo neno ni la...
Kubali au ukatae wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania,kabila tajiri,kabila la watu wakarimu na kabila la watu wanaojielewa sana na pia kabila ambalo halina ubinafsi kama makabila mengine.
Yaani kuna mikoa mingine ukienda kutafuta pesa au maisha wenyeji hawakuruhusu kumiliki ardhi wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.