Nani kamuua mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, maarufu MC Pilipili pengine ndio swali linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa. Nani amehusika kwenye mauaji yake na kwa nini amefikia hatua hiyo.
Swali hilo linatokana na taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kuthibitisha...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limesema linachunguza mauaji ya Mume na Mke ambao ni Anthony Hillary Ngaboli(46) na Anna ambao wamekutwa wakiwa wamefariki chumbani kwao katika nyumba yao iliyopo Mtaa wa Bonyokwa Kata ya Bonyokwa, wilaya ya Ilala jijini Dar Es Salaam.
Kamanda wa...
Wakazi wa Kata ya Galapo, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, wamegubikwa na huzuni, kufuatia taarifa za kubakwa na kuuawa kikatili kwa Suzana Samweli (13), mwanafunzi wa darasa la sita ambapo wananchi wamelaani vikali na kuitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua za haraka dhidi ya wahusika wa tukio...
Nimeona nitoe taaluma hapa kusaidia jamii
Ukilala usiku hasa hasa kama nyumba haina madirisha ya kuingiza hewa ya kutosha kisha ukaingiza jiko la mkaa kinachotokea ni kwamba hewa ya oxygen iliyopo chumbani ina react na mkaa na kutokea hewa ya carbon dioxide
C + O2 = CO2
hii carbon...
Mwanajeshi Mstaafu Petro Masali amekutwa amefariki dunia yeye na mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Marrysiana Edward, wakiwa katika hali ya faragha kwenye moja ya chumba cha nyumba ya aliyekuwa mwanajeshi huyo, katika Kata ya Ipuli Manisipaa ya Tabora.
Tukio hilo limetokea ikiwa ni siku moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.