Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amemthibitishia Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kuwa ofisi yake itawachukulia hatua za kinidhamu na kisheria viongozi wa ngazi za msingi katika Mamlaka za Serikali za Mitaa...