wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hitimisho: Wale wote waliopotea awamu ya 5 na hawakuonekana hadi sasa, waliuawa ama tuendelee kuamini kwamba wako hai ipo siku watarudi?

    Maana mpaka sasa hatujaambiwa lolote la maana na Jeshi la Polisi wala viongozi wa serikali , kwamba ni nini kimewatokea watanzania wenzetu hawa akina Bernard Saa Nane , Kanguye aliyepotezwa Kigoma , Azory Gwanda wa gazeti la Mwananchi na wengine wengi waliopotea kwenye mazingira ya...
  2. JamiiForums Tanzania Eliza na Ex-Boyfriend wake

    Ex: Eliza mambo Eliza: poa tu nani!! Ex: aah ulifuta hadi namba yangu au sababu umeolewa. Eliza: hayo hayakuhusu sema we nani. Ex: mi Fredy Mcharo Eliza: jamn mzima wewe za siku!! Ex: nzur tu nimekumiss. Eliza: we si uliniacha bwana... Ex: hapana hujajua tu ninavyoumia hasa nilivyosikia...
  3. JamiiForums Tanzania Unamkumbuka Crush wako wa utotoni? That was real and only unconditional love you will ever experience

    Asikwambie mtu, yule crush wa utotoni hasa mara nyingi inakua shule ya msingi ni mapenzi ambayo yanavuruga sana hasa ukizingatia mara nyingi mtu mabae unampenda anakua hana ata habari au aanajua unampenda ila hana habari na wewe yuko busy na yeye na crush wake. Nakumbuka nilipokua darasa wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa upande wako unaweza toa Tsh milioni 2 upate kazi ?

    Habari yenu wana jf. Ikiwa imetokea nafasi au fursa ya kupata kazi serikalini lakini ukaambiwa utoe pesa huyo na ukahakikishiwa utapata kaz, vipi kwa upande wako ungetoa?
  5. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kumla rafiki wa EX wako?

    Habari za uzimaAISEE SIO MIMI)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…