wakimbizi wa kivita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    Tetesi: Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameandaa mpango wa dharura wa kutorokea Urusi

    Kwa mujibu wa gazeti la The Times of Israel, Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameandaa mpango wa dharura wa kutorokea Urusi iwapo vikosi vyake vya usalama vitashindwa kuzuia ghasia za nchi nzima. Mpango huo unaripotiwa kujumuisha kutoroka Tehran na wanafamilia wa karibu na...
  2. H

    RC Sirro fuatilia wakimbizi wamejaa katika vijiji vya mkoa wa Kigoma

    Kumekuwa na tabia ya viongozi hasa watendaji wa vijiji kuwakumbatia wakimbizi kutoka kongo na burundi na kupokea pesa kwaajili ya kuwahifadhi na hata kuwapatia vitambulisho vya kuoigia kura na uraia. Rc wa kigoma fuatilia hili swala kwani askari wa jeshi la uhamiaji limekuwa likishirikiana na...
  3. Echolima1

    Tetesi: Misri ipo mbioni kupokea wakimbizi kutokea Palestina

    Huenda Misri inaweza kubadili msimamo wake wa muda mrefu wa kukataa wakimbizi wa Kipalestina kutoka Gaza. Kwa mujibu wa Al Akhbar, Rais Abdel Fattah El-Sisi anafikiria kuruhusu hadi Wapalestina 500,000 kuingia Sinai kwa muda wakati Gaza ikikarabatiwa. Mapema mwezi huu, Misri iliwasilisha mpango...
  4. Mindyou

    Video hizi zinafikirisha sana! Hivi ni kwanini Egypt na nchi nyingine 57 za Kiarabu hazitaki kuchukua wakimbizi kutoka Palestina?

    Wakuu, Kuna video za wahamiaji na vijana kutoka Palestina nimekutana nazo mtandaoni leo zimenipa maswali sana kuhusu hatma ya mgogoro huo unaendelea huko Middle East. Kuna umbali wa takriban Km 12.5 kutoka Gaza mpaka kufika Egypt. Egypt na Palestina ni nchi zilizo karibu sana ni kama Kenya na...
Back
Top Bottom