wajumbe ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    Wajumbe mnawachagua watu wenu na CCM inawaweka vibarakara wao ili viwasaidie kuiba mali za umma, mnaonekana mazuzu, mnadharauliwa sana

    Siku hizi CCM haisikilizi tena mawazo ya wananchi, wajumbe wanachagua watu wao wanaowataka ili wawaongoze alafu CCM inakuja inawatoa na kuwaweka watu wao ambao tayari walishakuwa wamepanga kuwaweka. Hii hali inaondoa maana ya kuwepo kwa mchakato wa wajumbe kuwapendekeza watu wao. Kama CCM...
  2. M

    GE2025 Wananchi Vunjo wawashangaa wajumbe CCM kumnyima kura Dkt. Kimei

    Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Jimbo la Vunjo wameeleza mshangao wao mkubwa kufuatia kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo Mhe. Dkt. Charles Kimei — ambaye amebaki kwenye kumbukumbu za wengi kama mbunge aliyetekeleza miradi mikubwa ya maendeleo kuliko watangulizi wake wote —...
  3. C

    Wajumbe CCM ni kirusi nchini, Wanakula rushwa na kupitisha viongozi wasiofaa

    Hello jf members, Hilo halina ubishi hawa wajumbe wamegeuka janga kwenye nchi yetu. Bora kura tupige wanachama wote.
  4. tonicimmobility

    GE2025 Pwani: Wajumbe Kibaha wawakataa watia nia wa udiwani wakisema kuwa ni wazee

    Wajumbe kutoka wilaya ya Kibaha mkoani Pwani wamesusia mkutano wakiwa na lengo la kuwakataa watia nia wa udiwani na kudai ya kuwa ni wazee. Tukio hilo limefanyika leo agosti 1, 2025 likionyesha wajumbe wakiwa barabarani wakitoa maneno ya kuwakataa watia nia wa udiwani. Soma pia: CCM mlione...
  5. Waufukweni

    GE2025 Prof. Kitila abanwa mbavu na Wajumbe CCM, wakumbusha ahadi ya ujenzi wa ukingo wa Mto Gide

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Ubungo, wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam wamehoji kwa sauti moja hatua za Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza muda wake, Profesa Kitila Mkumbo, kuhusu utekelezaji wa ahadi zake mbalimbali ikiwamo ujenzi wa ukingo wa Mto Gide ambao...
  6. and 998 others

    Wajumbe CCM (Mkoani/Wilayani) wabaki vibogoyo!

    Kwa mabadiliko ya Katiba ya CCM yaliyopitishwa Jana tarehe 27/07/2025 Wajumbe hawana Nguvu tena ya kumpitisha Mgombea Ubunge/diwani wanayemtaka Bali kamati Kuu Taifa ndio itaamua Nani agombee. Poleni Wana CCM wenzangu. #Kazi na Utu.# Lucas Mwashambwa
  7. The Khoisan

    Wajumbe CCM Mmedharauliwa. Mnafanywa Rubber Stamp

    Yaani hiki kitendo cha kuitisha mikutano mitatu kwa siku moja yaani Kamati Kuu, Halimashauri kuu na Mkutano Mkuu ni dharau kwa Wajumbe na Wanachama wa CCM. Kwa mani yangu kinachofanyika hapa ni kikundi fulani kuleta agenda yao ili vikao halali vya chama ivipitishe. On top of that hata hayo...
  8. Erythrocyte

    GE2025 Luhaga Mpina agoma kutishiwa nyau. Achukua fomu kugombea Jimbo la Kisesa

    Aliyekuwa mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kutetea ubunge Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu, leo Jumatano Julai 2, 2025. Mpina amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Meatu, Nabothi Manyonyi. ========================= Mbunge ambaye Jimbo...
  9. Valencia_UPV

    Wajumbe CCM Arusha Mjini huenda watatuletea Waziri Mkuu Mpya 2025-2030

    NI kama mmepewa Nafasi ya kutupatia Waziri Mkuu mpya 2025-2030. Pole Gambo, pole sana
  10. and 998 others

    Wajumbe CCM Arusha wamtaka Comrade Dr Makonda

    Wajumbe kwa ujumla wao. Wamemuelewa RC na Mwenezi Mstaafu Comrade Dr Makonda. Isanga family
  11. R

    PreGE2025 Wajumbe CCM wamchangia Manunga zaidi ya shillingi laki 5 kuchukua fomu ya kuwania ubunge Chato kaskazini

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato, Mkoa wa Geita Mhe. Batholomeo Manunga ametangaza nia ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Chato Kaskazini. Mhe. Manunga ametangaza nia yake hiyo jana Juni 16, 2025 katika kikao Cha kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika kata...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Wajumbe wa Serikali ya Mtaa wa CCM watuhumiwa kuchukua majina ya waliojiandikisha kupiga Kura Oktoba 2025

    Wakuu Wajumbe wa Serikali ya Mtaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanatuhumiwa kuchukua majina ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, wakati wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura linaloendelea nchi nzima. Soma: Wakala wa CCM anayeandikisha majina...
  13. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Balozi Dkt. Nchimbi: Kuna watu wameanza kuwapa fedha wajumbe waache mara moja

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea mwenza wa kiti cha Urais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema wapo watu wameanza kampeni za kutaka kuwatoa majimboni wabunge waliopo kwenye maeneo yao na kupitia kampeni zenye nia ya kuchafuana, hivyo amewataka waache mara moja kwani...
  14. Mindyou

    PreGE2025 Mbunge wa Viti Maalumu CCM Jesca Kishoa: Kuna kiongozi alinishauri nisisaidie wananchi, alitaka nihonge wajumbe ili nishinde Uchaguzi

    Wakuu. Wabunge wa CCM washaanza kutoa siri za kambi Mbunge wa viti maalum Jesca Kishoa hivi karibuni akiwa nanaongea na wananchi amefichua kuwa aliwahi kushauriwa na kiongozi mmoja wa kisiasa kwamba abadili mbinu zake za kisiasa na kwamba badala ya kuwahudumia wananchi, aweke akiba ya fedha...
Back
Top Bottom