Kibiashara ina make sense. Ingawa quality ya vyakula vyetu inakuwa compromised. Ebu tujaribu kudescribe baadhi ya matunda yetu kwa sasa, kwa kuanzia tu
:
1) Nanasi: Ili la kisasa ni kubwa balaa kama mpira, ila ukilikata unakutana na maji tupu, ule utamu wa nanasi umepotea kabisa, hakuna sukali...