Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kimeitoa Tanzania kimasomaso baada ya kuibuka kidedea kwa kushika nafasi ya kwanza Tanzania na Afrika Mashariki na cha nne Afrika, kwenye soko la ajira.
Akizungumza leo Julai 15, 2026 na waandishi wa habari chuoni hapo, Naibu Makamu Mkuu wa UDSM-Utafiti...