wagonjwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania K/Mkuu Wizara ya Afya, awaasa wananchi kuacha kuzusha maneno kuwa hospitali zimejaa wagonjwa na kusababisha watu kuogopa kwenda kupata Huduma za Afya

    Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Prof. Mabula Mchembe amewaasa Wananchi kuacha kuzusha maneno ya kuwa hospitali zimejaa na kusababisha wagonjwa kutofika ili kupatiwa matibabu Profesa Mabula amesema hayo leo FebruarI 12, 2021 mkoani Arusha.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili mnatuchosha

    Naomba kueleza matatizo tunayoyapata sisi tuliopeleka wagonjwa wetu muhimbili kutibiwa. Ni shida tena mateso kuja kumuona mgonjwa wako wodini walinzi na wahusika wamefanya dili kutengeneza pesa ukitaka kumuona mgonjwa wako utaruhusiwa ila utatoa chochote na wengine hawaruhusiwi kabisa, watakaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…