Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan jana Novemba 29,2025 ameongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa cha uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa Majiji na Manispaa pamoja na...
Hili ni Jimbo la Chamazi Dar es Salaam, mgombea ubunge kupitia chama ACT alipigwa duwaa baada ya kumkuta msimamizi wa uchaguzi katika kituo mojawapo akiwa anatiki kwa wagombea wa CCM.
Kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 zimezidi kupamba moto huku makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kufanya mikutano maeneo mbalimbali kusaka kura kwa wagombea.
Cecilia Paresso, ambaye alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa...
Katika kikao cha hivi karibuni cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro, katibu wa mkoa, Mercy, alikabiliwa na hali ya kushangaza na kusikitisha.
Kikao hicho kilikuwa na jukumu la kukutana na kupitisha majina ya wagombea wa udiwani wa kata na viti maalum kwa kata mbalimbali za mkoa huo...
Askofu Gwajima amesema, "Kiwango cha kupendwa kwa Wagombea wa CCM kiko chini"
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
Wakuu,
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa ratiba ya uteuzi wa wagombea wa nafasi za Ubunge, Udiwani, Uwakilishi na Viti Maalum kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
28/06 – 02/07/2025: Kuchukua na kurejesha fomu za kugombea.
04 – 11/07/2025: Vikao vya awali vya Kamati za Siasa za...
Kutokana na wanaCHADEMA kuwa mstari wa mbele kupinga na kukosoa mambo mbalimbali yanayoendelea wakati huu wa uchaguzi ninashauri chama chetu CCM kiwape hawa ndugu zetu nafasi maalum ya kupendekeza wagombea wanaowataka. Imefika sehemu viongozi waandamizi wa CHADEMA wamejiunga na Polepole kusema...
Baadhi ya wanachi Arusha wametoa maoni yao baada ya CCM kutangaza majina ya Wabunge waliowateua na kuwatema na baadae wajumbe watakaochagua mgombea mmoja ambaye atasimama kukiwakilisha chama katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba mwaka huu.
Katika Jimbo la Arusha Mjini...
UKITOA RUSHWA UNAKATWA, UTEUZI WA WAGOMBEA WA CCM KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Katibu wa itikadi na uenezi na mafunzo wa chama cha mapinduzi (ccm) upande wa zanzibar Hamis Mbeto ameeleza jinsi wagombea wa chama cha mapinduzi wanavyo patikana katika mchujo wa kura za maoni na kusisitiza kuwa wagombea...
Japo wengi wanashabikia kwa kutofahamu, lakini kazi aliyoifanya Samia ni kubwa sana katika nyannja zote. Hata wapinzani wanaponda sana utawala wa Samia lakini katika waliopo CCM sasa hivi pengine Samia ndiye bora kuliko wote
Haya ni mafanikio ya Rais Samia Suluhu Hassan (Machi 2021 – Julai 25...
Kuna nini cha kushangalia kukatwa kwa wagombea ubunge wa CCM na kamati za wilaya au mikoa ?
Hawa watu inawezekana wakaonekana wamepoteza sana lakini kumbuka hawa wengine watateuliwa nafasi za wakuu wa wilaya, mikoa, wakuregenzi wa halmashauri za wilaya, miji na majiji, wakurugenzi wa mashirika...
Mwl. Nyerere aliwahi kusema, "kama CCM ikimtangaza mgombea wake huyo ndiye atakaekuwa Rais". Hivyo alitaka wagombea wa CCM wajulikane mapema ili watu wapate muda wa kuwajua na kuwajadili kwa muda mrefu kabla ya kuteuliwa na kabla ya siku ya uchaguzi. CCM wamefanya hivyo alhamdulilah kwa wagombea...
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameupongeza uongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Bukombe kwa Mkutano Mkuu Maalum wa kutoa taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Bukombe kwa mwaka 2020-2025.
Amebainisha kuwa miradi iliyotekelezwa na inayoendelea...
Utawala wa CCM kwa sasa umekuwa mgumu kwa nchi wagombea waliopo wote mnawajuwa mmoja ana uraisi wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wote mmeona aliyoyafanya katika kipindi chake na kinachoendelea watu wamepotea hovyohovyo tena bila kificho watu wamepaza sauti hamna kilichofanyika...