waganga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Simulizi yangu ya kwenda kwa waganga wa kienyeji sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi

    Waungwana habari ya leo fuatana nami kwenye simulizi yangu hii ambapo niliwahi kwenda kwa waganga wa kienyeji sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi baada ya kukutana na changamoto mbalimbali za kimaisha. Kiukweli ni vigumu kumjua yupi ni mganga wa kweli na yupi ni mganga feki ni kama vile...
  2. M

    Kocha Mgunda, Wachezaji wako 9 na Waganga wenu 7 tumeshamalizana nanyi, hivyo tafadhali msituangushe leo

    Wazee wa Fitna na Roho tumeshagawana Majukumu tayari huku wengine wakiwa Khartoum Sudan ambako tumeenda kutafuta Sare (Draw) tu ili tuje kupata Alama (Points) zetu 6 tu kwa Mkapa tuwe na Jumla ya Alama 13 tutinge Robo Fainali CL. Nikiwa Kiongozi wa Kamati ya Fitna, Umafia na Roho mbaya...
  3. Wana 'Kahama' wote mnipokee tafadhali kwani nakuja 'Kuhiji' huko kwa 'Waganga' wenu wazuri kwakuwa kuna 'Mbabe' nimemkosea nataka anisamehe

    Ni 'Mbabe' ambaye Kiukweli alinipa Jukumu la Kutunza Nyumba yake nzuri ila Mimi kwa tamaa zangu ( japo ni Mchapakazi mzuri tu ) nikawa nachukua Magari yake ya 'Kifahari' na Kutamba nayo Mitaani nikijifanya yangu na Wambea wakamfikishia taarifa. Kuna Mtu kaniambia niende 'Kuhiji' Mji wa Kahama...
  4. Kwanini waganga wakubwa na wachawi wa kike kwa wakiume hawakosi magonjwa makubwa na ni maskini sana

    Nimejiuliza sana, kati ya waganga nilio wahi kuwafahamu au kuwatembelea na wale ambao marafiki zangu wachache wali wahi kuwaona hakuna ambaye nimewahi kutana naye ambaye hana magonjwa makubwa kama Presha, HIV, au kwa wanawake wana matumbo makubwa utadhani ni wajawazito, na ni maskini sana...
  5. Connection ya namba za waganga wakali Bongo

    Mwaka ushausha huo, tupia hapa namba za mtaalamu wako unayemkubali kwenye ndumba zako 1. Waganga wa kupata likes nyingi 2. Waganga wa kupata ubunge wa kuteuliwa 3. Waganga wa kupata pisi kali ma- C.E.O 4. Waganga wa kula mgahawan bure 5. Waganga wa kupasua pepa 6. Waganga wa kutokuombwa hela na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…