wafanyabiashara wa kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Prof. Shemdoe: Rais Samia amerejesha tabasamu kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa ukarabati wa Soko

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zaidi ya Shingi Bilioni 28 zilizorejesha tabasamu kwa wafanyabiashara wa Kariakoo ambazo...
  2. Mafyangula

    GE2025 Mgombe urais UPDP: Hakuna kura inayoibwa, isipokuwa Watanzania hawajitokezi kupiga kura

    Kumbe kura aziibiwi? Naendelea kuaamini kuna vyama vingine ni matawi ya halali kabisa ya CCM ================== Mgombea Urais wa Tanzania kupitia United People’s Democratic Party (UPDP), Twalib Kadege amesema hakuna kura inayoibwa, isipokuwa Watanzania hawajitokezi kupiga kura
  3. Mafyangula

    GE2025 Sisi kama Jumuiya ya wafanyabiashara wa Kariakoo tuko mbali kabisa na watu wenye nia ovu za uvunjifu wa amani

    Wafanya Biashara Kariakoo Wamemsifu Mgombea wa Urais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Kufuta Tozo Zipatazo 384 Ambazo Hapo Awali Zilikuwa ni Kero Kubwa. "Sisi kama Jumuiya ya wafanyabiashara wa Kariakoo tuko mbali kabisa na watu wenye nia ovu za uvunjifu wa amani, maslahi yetu yana thamani kubwa...
  4. Mindyou

    Wafanyabiashara wa Kariakoo wampiga chini Mwenyekiti wao zamani. Wamchagua Severin Mushi kama kiongozi wao mpya

    Wakuu, Wafanyabiashara wa Kariakoo wamemchagua Mwenyekiti wao mpyA anayeitwa Severini Mushi aliyepata kura 229 akimshinda, Martin Mbwana aliyekuwa akitetea kiti hicho ambaye amepata kura 12. Soma pia: Kariakoo: Kiongozi wa Wafanyabiashara azomewa Uchaguzi huo umefanyika Alhamisi Desemba 5...
  5. MamaSamia2025

    Serikali isiwachekee wafanyabiashara wa Kariakoo wanaovunja sheria kwa tamaa zao

    Kila kitu kwa sasa kipo uchi baada ya jengo kuanguka. Huu uhuni wa wafanyabiashara wengi wa Kkoo unastahili kudhibitiwa kisheria bila kuwaonea huruma. Hizi underground floors zimeibuka sana miaka ya karibuni kumbe ni uhuni wa watu wenye tamaa wasioridhika na vipato yao. Ninatia wito kwa...
  6. J

    PreGE2025 Makalla: Wafanyabiashara wa Kariakoo walioandamana hadi CCM badala ya Ofisi ya Mkuu wa mkoa walikuwa Sahihi, Wote wapewe Vizimba!

    Mwenezi wa CCM komredi Makalla amesema kitendo cha Wafanyabiashara kuandamana hadi Ofisi za CCM kilikuwa ni Sahihi kwani CCM ndio yenye dhamana ya kuwaletea Maendeleo Wananchi Makalla amesema Wafanyabiashara waliokuwepo Kariakoo kabla Soko halijaungua wote watarudi sokoni kama walivyoahidiwa na...
Back
Top Bottom