Wadukuzi wanaojiita Sangkancil wamedai kudukua taarifa binafsi za zaidi ya watu milioni 7 nchini Israel.
Wadukuzi hao wamesema wamedukua taarifa hizo kutoka kwenye tovuti ya CITY4U ambayo hutumiwa na mamlaka za Israel kushughulikia malipo mbalimbali kama bili za kawaida, faini, kodi nk...