wadudu

  1. Timtim

    Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Naomba niwasilishe kutaka kuelezwa zaidi juu ya kilimo cha Korosho kwa Mkoa wa Pwani. Naomba mwenye kuelewa atufahamishe mimi na wengine gharama toka awali za kupanda mikorosho katika shamba la ekari 20. Gharama na takwimu hadi kuvuna na kiasi cha mavuno kwa mwaka. Natanguliza shukrani zangu...
  2. T

    Wapi napata ile mifuko maalumu ya kuhifadhia mahindi inayozuia yasibunguliwe na wadudu?

    Hello, Natafuta mifuko/magunia maalumu ya kuhifadhia mahindi. Hiyo mifuko imekuwa maarufu kwa madai kuwa ina uwezo wa kuhifadhi mahindi na kuyazuia kubanguliwa na wadudu. Kama unafahamu naipata wapi Dar, nipe taarifa. Nataka nishuke nayo kijijini mara moja. tf.
  3. X

    Huduma ya fumigation

    Kwa yeyoteanaesumbuliwa na wadudu mbali mbali tuwasiliane kupitia +255758899901. au tembelea tovuti yetu ya Xfrey kufanya booking ya huduma kutoka kwetu.
Back
Top Bottom