Rais wa Wachimbaji wa Madini Tanzania, John Wambura Bina, kwenye mkutano wa kampeni leo Oktoba 13, 2025, Mkoa wa Geita, amependekeza kwamba moja ya madini nchini yabadilishwe jina na yaitwe “Samia Suluhu Hassan” kama ishara ya kutambua mchango mkubwa wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kuendeleza...
WACHIMBAJI MKOA WA SINGIDA WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MAFANIKIO MAKUBWA SEKTA YA MADINI
▪️Wapongeza ugawaji wa Leseni kwa wachimbaji wadogo Singida
▪️Singida wavuka malengo ya ukusanyaji wa maduhuli
▪️Waziri Mavunde aeleza mkakati wa kuongeza eneo la utafiti wa kina madini nchini
▪️Kampuni za...
MGODI WA DHAHABU WA GEITA KUWALIPA FIDIA WANANCHI KUPISHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI
▪️Ni Wananchi wa Nyakabale na Nyamalembo
▪️Waziri Mavunde alekeza zoezi lianze mapema
▪️Wananchi Geita wamshukuru Rais Samia kwa utatuzi wa mgogoro uliodumu miaka 26.
📍Geita.
Serikali imetangaza rasmi kuanza kwa...
❖ Baada ya Miaka 100 GST Yajielekeza kwenye Ujenzi wa Maabara za Kisasa
❖ Kuhudumia mikoa ya kimadini ya Geita, Mbogwe, Kagera, Mwanza, Kahama na Shinyanga
❖Maabara nyingine kujengwa Chunya na Dodoma
📍Geita.
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Peter Mavunde, amesema ujenzi wa maabara ya kisasa ya...
📌Ni kupitia Mradi wa kupeleka umeme kwa wachimbaji wadogo na wa kati
📌Umeme umeleta ukombozi, uzalishaji madini waongezeka Geita
Mradi wa kupeleka umeme kwa wachimbaji wadogo na wa kati, Viwanda vidogo na vya kati pamoja na maeneo ya kilimo umepokelewa kwa furaha na wananchi mkoani Geita mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.