wachezaji wa simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Keynez

    "Nendeni mkawapige wachezaji wa Simba". Hii kauli imekaa kijinai

    Sina interest sana ya kukaa kuzungumzia mipira hasa ya Simba na Yanga, matimu ambayo bila aibu yamewasaliti wananchi wa Tanzania ambao ndiyo supporters wao wakubwa. Ila kuna jambo moja nimeliona nimeona vyema nililete mbele yenu. Kuna huyu mzee, sijajua ni kiongozi wa klabu ya Simba au ni...
  2. Inside10

    Wachezaji Wa Simba Jonathan Sowah Na Allasane Kante Wafungiwa Mechi 5 Na Faini Ya Million 1 Kila Mmoja

    Mshambuliaji wa Simba Sports Club, Jonathan Sowah amefungiwa michezo 5 pamoja na faini ya milioni moja (1,000,000/=) Alassane Kante pia amefungiwa michezo 5 na faini ya milioni moja (1,000,000/=) Sowah na Alassane walifanya vitendo vya utovu wa nidhamu dhidi ya Azam FC. Nae Kiungo Khalid Aucho...
  3. ngara23

    Yanga wakubali mchezaji wao wa Yanga Princess Jeanine MUkandayisenga kupima, waweka sharti kuwa wachezaji wa Simba na JKT Queens kupima jinsia

    Yanga wameiandikia TFF barua kuwa wako tayari mchezaji wao wa timu ya wanawake, Jeanine MUkandayisenga kupima na kuuthibitisha jinsia yake kama TFF walivotaka TFF waliwaandikia barua Yanga kuwa timu za wanawake za Simba na JKT wamelalamika kuhusu utata wa jinsia ya Jeanine MUkandayisenga na...
  4. mdukuzi

    Yanga ni Tasaf au NSSF kwa wachezaji wa Simba?

    Ujana unaliwa Simba uzee unaliwa Yanga kuvuta penshen Hii ni Tasaf au NSSF?
  5. Action and Reaction

    Simba walikubali pressure iliyotolewa na vyombo vya habari kuwapumzisha baadhi ya wachezaji kisa wamechoka kilichowakuta ndo hiki Cha 3: 1

    1). Kama Kawa akili za kuambiwa changanya na zakwako yaani wachambuzi wa bongo ni hatari Sanaa! 2). Simba baada ya kukosa kombe la Caf, morali ya timu imeshuka! 3). Hapo ndipo wachambuzi wakaingia kwa miguu yote miwili kuwa Simba inakikosi kipana! Wakasikilizwa, kumbe wanaoongea wanatamani Simba...
  6. D

    Mfikishieni ujumbe kocha wa simba kwamba kesho awapumzishe nyota mhimu apange kikosi B kucheza CRDB, mpeni manula adake

    Mwambie kesho kocha apange kikosi B, golikipa adake manula! Kina mpanzu, kamala، kibu, mkwara, ngoma, malon na nyota wengine wapumzike! Mwambieni atumie kikosi B si mnajua simba ina kikosi kipana! Mfikishieni ujumbe kwamba sisi mashabiki tunamuomba awapumzishe nyota ,,, aache vijana wengine...
  7. Komeo Lachuma

    Ili tuishi kwa amani na furaha. Tupatieni majina ya Wachezaji wa Simba tuwazike na Mtujulishe wamefikia wapi kwa sasa

    Tayari uongozi umepitisha. Ijumaa tunaenda maliza match ya Mikia. Wallah wabillah hawa mikia hawatachukua Kombe. Labda siyo mimi Komeo la Chuma. Uongozi umetoa fungu la kutosha kufanikisha zoezi hili. Wachezaji wa Simba wazikwe. Yanatakiwa majina yao kamili na tarehe zao za kuzaliwa. Hii...
  8. D

    Simba wana timu nzuri sana lakini uchoyo wa pasi kwa Washambuliaji unigharimu timu kila siku na hakuna mabadiliko

    Nimefuatila sana mechi za simba wanavyocheza! Straika wa simba wapo vizuri sana lakini kipengele cha utulive katika box la mpinzani hawana! Elie mpanzu ana speed nzuri lakini uchoyo ndani ya box unaigharimu timu asilazimoshe kushoot kila wakati . Ateba naye hivyo hivyo huwezi kuiona ile gusa...
  9. Waufukweni

    Wachezaji wa Simba, Ahoua na Zimbwe Jr waingia kwenye kikosi bora CAF hatua ya makundi

    Kwingineko Nyota wa Simba, Ahoua na Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) wameingia kwenye kikosi bora cha CAF hata ya makundi Kombe la Shirikisho
  10. Waufukweni

    Vibe la Wabunge mashabiki wa Simba, walivyotambulishwa wachezaji wa Simba ndani ya Bunge

    Uongozi wa Klabu ya Simba Pamoja na wachezaji wamehudhuria Mkutano wa 18 wa Bunge leo tarehe 4 Februari, 2025, jijini Dodoma ambapo wapo jijini humo wakiwa wameweka kambi ili kuikabili Fountain Gate tarehe 6 Februari, 2025, shangwe nyingi zimesikika bungeni wakati wekundu hao wakitambulishwa na...
  11. Komeo Lachuma

    TFF iangalie suala la hawa wachezaji wa Simba kuonesha hii ishara. Msije sema sisi Yanga wabaya

    Ni uhuni hawa mikia. Wanaonesha ishara ya kuwa sisi Yanga tunajidunga kwenye mshipa. Hili jambo walizusha Azam naona mikia wamelibeba. Yaani walikosa pose nyingine mpaka kutuoneshea sisi huu uhuni?ndo maana jerseys zao mbaya....sijapendq kabisa wao kutuoneshea kuwa sisi tunajidunga madawa.
  12. L

    Bila kumuona Leonel Ateba kwa wiki najiona kama nina mapungufu mwilini

    Huyu striker nimemtokea kumpenda sana, kwanza ana nguvu, ana akili, ana control, ana mbinu, ana mikakati, ana uwezo mkubwa lakini ni mchana nyavu hasa.Muite Leonel Ateba Mbida. Mcameroon huyu ananivutia sana, nimeona washambuliaji wengi sana Simba, nimemuona marehemu John Makelele 'Zigzag'...
  13. William Mshumbusi

    Mgunda alishindaje gemu zake na akina Chasambi na Kabaraka. Tena bila upendeleo. Huyu ana Mavambo, Ahoua, Ateba anawaua na refa lakini wapi

    Kuna vitu huwezi kufoji kabisa. Ukiwa na kocha mbovu utalaumu wachezaji bure tu. hamtaki onana, fred na mh. Hilo linauzi mnooo. Kocha ashindwe kila timu aje aibukie simba. Hakuna mtu kabisa hapo
  14. Chief Ortambo Ikumenye

    Simba iachane na hawa wachezaji

    1. Mutale - anacheza kama ana shoti kichwani, mbio nyingi output zero... ukiwa na mchezaji type hii ushindi wako utakuwa ni ule wa mafuluku na magoli ya papatu papatu... huwezi ku achieve sustainability. Huyu makocha wasijichoshe hafundishiki tena kwa level yake 2. Kijili - huyu naye ni kama...
  15. S

    Kama ningekuwa kwenye benchi la ufundi la klabu ya Simba SC ningependekeza kikosi hiki

    Simba SC ni timu ambayo imeshajijengea jina kubwa barani Afrika hivyo ukubwa huo unatakiwa kuonekana kwenye kila mashindano inayoshiriki. Kuna wachezaji ambao hawasitahili kuanza kwenye first eleven ya mwalimu, baadhi ya wanyezaji hao ni; Balua, Shomari Kapombe: ( amekuwa uchochoro wa adui...
  16. L

    Wachezaji wa Simba wanashushwa viwango na washirikina

    Wachezaji wetu wanakuja wakiwa wameacha historia kwao, Simba iliwasajili kutokana na Ubora wao, lkn huwezi amini jamaa wakianza t kuitumikia Simba uwezo unaporomoka kidogo kidogo. Joshua Mutale ni moja ya viungo hatar kabisa ukanda huu lkn ameanza taratibu kuonekana Saido aliyechangamka...
  17. M

    Kibu Denis wewe sio wa kuanzia benchi. Uamuzi sahihi ni kuondoka

    Kiungo mshambuliaji wa Simba Kibu Denis. Nikiangalia Simba yote naona hakuna striker wa kukuweka benchi. Ondokana na ujinga huu. Soma Pia: Kibu Denis anapaswa kulaaniwa na kila mpenda soka Kibu kuisumbua Simba, Taswira mbaya kwa timu
  18. cutelove

    Wachezaji wa Simba washambuliwa na mashabiki huko Tripol, Aishi Manula ajeruhiwa

    Baada ya dakika 90 kumalizika kwa mechi kati ya Simba na Ahly Tripol,Mashabiki walianza fujo kwa kurusha makopo na vitu vizito uwanjani huku wakiwalenga wachezaji wa Simba na marefaree na huku Aishi Manula akijeruhiwa na polisi na kuanza kupewa matibabu na madaktari wa timu ya Simba SC. Soma...
  19. kavulata

    Simba wajiandae kupewa kadi nyingi sana CAF confederation

    Wachezaji Wana viwango vidogo lakini wanataka matokeo makubwa, hii inawalazimisha kuwaparamia wapimzani kitu kitakachowasababishia kupewa kadi nyingi zitakazowadhoofisha kwenye mashindano.
  20. Waufukweni

    Klabu ya Simba yang'ara tuzo za mwezi Agosti Ligi Kuu ya NBC

    Kiungo wa klabu ya Simba, Jean Ahoua, ametajwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Agosti katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25 baada ya kuisaidia timu yake kushinda michezo miwili, akifunga bao moja na kuchangia katika mabao mengine matatu. Kocha wa Simba, Davids Fadlu, pia amechukua tuzo ya Kocha...
Back
Top Bottom