Kuna hawa strikers wa Simba , Simba Ina mastriker watatu ambao kwenye pecking order ateba ni namba moja , mukwala Namba mbili na mashaka namba tatu, kwa upande wangu sijawahi muelewa kabisa ateba , nafasi anazopata na kuzibadili kuwa magoli naona haviendani kabisa, pia uwezo wa kusimama kwenye...