Mimi ni kijana mtanzania ambaye nimemaliza elimu ya chuo kikuu kada ya ualimu wa sayansi na nimehudhuria usaili mara kadhaa na leo nataka nizungumzie swala la matangazo ya ajira kwa taasisi zinazotoa ajira.
Ajira ni changamoto ambayo inatukabili vijana wengi sana na inapotokea tangazo la ajira...