vyumba vitatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Voldemort

    Makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yenye vyumba vitatu

    Habari za leo wana JF 👋 Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua makadirio ya gharama za kujenga nyumba yenye vyumba 3 (Vyote master), sebule, dining, jiko, store, pamoja na choo cha wageni (public toilet).
  2. The dumb Professor

    Kwa mil. 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu Dar?

    Wakuu, Kwa mil 20 naweza kujenga iyo nyumba nikisimamia mwenyewe?
  3. Kitomai

    House4Sale Nyumba ya GHOROFAni ( Apartment) Inauzwa upanga Ina vyumba vitatu (3) vya kulala

    Bei - TZS Milioni 300 Ghorofa ya kwanza, jengo lenye ghorofa 3 Sifa zake: Vyumba 3: 1 Master Bedroom: Bafu+choo ndani (self-contained) 2 Vyumba vya kawaida: Bafu ya pamoja (shared bathroom) Ziada: Jiko kamili Sebule (living room) Eneo maalum la kula (dining area) Mahali: Upanga - Eneo...
  4. radhiya

    Tunatafuta Nyumba ya vyumba vitatu vya kupanga

    Tupigie kama una nyumba yenye vigezo hivyo 0784 829565 0767 833345 @prathlimited
  5. Wachatech

    Ramani kali ya vyumba vitatu

    Ramani ya vyumba vitatu Sebule jiko dining store Choo Kwa maelezo zaidi +255678418272 WhatsApp
  6. R

    Natafuta mhandisi mwenye sifa kuandaa michoro ya plumbing kulingana na house plan ya vyumba vitatu. Plan imeshapata kibali cha ujenzi.

    Kama una huo ujuzi tuongee. Hata kama huna degree ya engineering ili mradi una uzoefu wa kutosha
  7. dalalitz

    House4Sale Nyumba yenye vyumba vitatu (3) tshs.165 milioni, Kinyerezi/kibaga

    .....
  8. dalalitz

    NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU (3) TSHS.27 MILIONI, KINYEREZI-LIMBANGA.

    ....
  9. dalalitz

    Nyumba mpya ya kisasa, vyumba vitatu (3) inauzwaTshs.330 milioni, Madale

    ....
  10. dalalitz

    Pagale la vyumba vitatu linauzwa tshs.10 milioni, Kibaha msufini

    ..
  11. A

    Gharama msingi vyumba vitatu

    Wakuu Naomba kuuliza msingi wa vyumba vitatu kimoja self, jiko sebule na public toilet kwa Dar unaweza kutumia cement mifuko mingapi?
  12. ommytk

    Nyumba ya vyumba vinne vs nyumba ya vyumba vitatu ipi nzuri

    Wadau natamani leo nione mawazo yetu hivi nyumba ya vyumba vinne ambazo tunaamini za kisasa na zile za vyumba vitatu tunaamini za zamani ipi Bora Kwa mimi naona vyumba vitatu sawa maana nyumba kuna wakati inakuwa kubwa mnabaki na familia chache ata kufanya marekebisho inakuwa inakushinda...
  13. Ramani Popote

    INAUZWA Ramani ya vyumba viwili, kimoja masters, jiko, sebule, public toilet, dining

    Habari wakuu nahusika na uchoraji ramani, kwa mahitaji ya ramani mbalimbali za majengo nitafute whatsapp 0765898884 Gharama zetu ni nafuu.
  14. Scared

    Kiwanja hatua 15x15 kinatosha nyumba ya vyumba vitatu na sebule na choo?

    Habari za jioni ndugu zangu, Naomba kuuliza kiwanja chenye ukubwa wa 15x15 kinaweza kutosha nyumba ya vyumba vitatu sebule jiko na choo Kwa wanaojua naombeni msaada mnijulishe wadau maana Kuna sehemu nataka nianze ujenzi
  15. Gai da seboga

    Ramani ya vyumba vitatu

    Habari zenu mabibi na mababu. Natarajia kuingia katika ujenzi wa nyumba yangu sasa nimetafakari nimeona nianze na nyumba yenye vyumba VITATU kimoja kikiwa Master, sebule, dining, jiko, store, public toilet. Kama kuna wajuzi wa michoro ya Ramani naombeni msaada itapendeza ikiwa Ramani ya kisasa...
  16. S

    House4Rent Napangisha Nyumba ya vyumba vitatu Kiseke-Mwanza

    Napangisha Nyumba Ipo Kiseke PPF Mwanza room 3 mojawapo ni master, sebule, jiko etc Bei ni 2,500,000/- kwa mwaka.. unaruhusiwa kulipa miezi sita.. Karibu sana!
  17. Nyumba Nafuuu

    Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika

    Hapa katika uzi huu nakupa Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika. Zipo nyumba nyingi, so angalia ktk comment kuona zaidi
Back
Top Bottom