Habari,
Nimegundua watu wengi huwa wanalala kwenye vyumba vyenye choo ndani au vyoo vyenye chumba ndani.
Hii ni baada ya kuona ujenzi wa nyumba nyingi za kupanga, air bnb, na nyumba za kuishi hujengwa kwa kuweka chumba kwenye choo. Yaani nikimaanisha watu wengi wanalala kwenye vyumba vyenye...