vyoo vya umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    KERO Vyoo vya Stendi Kahama ni mfano jinsi vyoo vingi vya public visivyo salama na hatari kwa afya za watumiaji

    Habari za Leo Waungwana. Ni hivi nimezunguka karibia ya 96% ya mikoa ya Tanzania lakini ajabu ni kwamba Vyoo vya stendi zote hadi pale Dodoma ile Stendi Kuu ya kisasa kabisa ni pachafu na si salama, licha ya kuwa tunatoa hela kupata huduma ya kujisaidia. Ukiingia kwenye Vyoo hivi ukakaa hata...
  2. KING MIDAS

    Swali la Kiimani & Sayansi:- Kwanini watu hawapati stroke (kupigwa na majini) kwenye vyoo vya umma?

    Ni kawaida sana kwa watu kupatwa na stroke wakiwa kwenye vyoo vya majumbani kwao. Lakini sio kawaida hata kidogo kukuta mtu kapatwa na stroke kwenye vyoo vya umma. Kwanini Hali hii utokea hivi?
  3. The Sheriff

    KERO Miundombinu ya vyoo Mnada wa Mbuzi - Kibamba ni kichefuchefu! Mamlaka za Afya Wilaya ya Ubungo mpo wapi?

    Salamu Wakuu, Kwa waliowahi kufika Kibamba kwenye mnada maarufu wa nyama tamu ya mbuzi, bila shaka mtakuwa mmekutana na changamoto kubwa ya miundombinu duni – hasa vyoo. Hali ni ya kusikitisha. Vyoo havina maji tiririka, vinyesi vinaonekana waziwazi, na mazingira ni machafu kupindukia. Vibanda...
  4. Kalaga Baho Nongwa

    KERO Pamoja na hali ya usafi wa vyoo vya umma inaeleweka. Vyoo vile kwa walemavu wanaotambaa ni jehannam

    Wakuu inaumiza, inakoroga na kukata maini kabisa. Fikiria kwanza vyoo vya umma vinavyoshughulikiwa kila baada ya dakika 6. Masizi, michanga, matope na chembechembe za vinyesi zinayotapaa pale ambapo zoezi la kuflash likitumi nguvu zaidi. Anakuja mlemavu anatembelea mikono na miguu anaingia...
  5. Yoda

    Kwanini vyoo vya umma vinatengwa kwa jinsia ya wanaume(ME) na wanawake(KE)?

    Kwanini vyoo vya umma vya watu wazima huwa vinatengewa kwa jinsia ya Wanawake(KE) na Wanaume(ME)? Kuna tatizo gani kwa wanaume na wanawake kutumia choo kimoja? Kwanini vyoo havitenganishwi vya watoto na watu wazima?
  6. Yoda

    KERO Inakera sinki za kukojolea za vyoo vya wanaume kukaribiana sana bila vitenganishi

    Vyoo vya matumizi ya umma hasa kwa ajili ya kukojoa katika bar nyingi na migahawa ya bus za abiria Tanzania vina changamoto nyingi sana upande wa sinki za kukojolea. Kuna mahali bar kubwa au mgahawa mkubwa sana na wateja wengi lakini kuna sinki mbili tu za kukojolea kwa hiyo wateja chooni...
Back
Top Bottom