vyama vingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbona CHADEMA wanafanya Siasa peke yao. Wengine wapo wapi?

    Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa. Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa? Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
  2. JamiiForums Tanzania Mbowe: CCM hawana ugomvi na vyama vingine vya siasa, wana ugomvi na CHADEMA

    Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa CCM haina ugomvi na vyama vingine vya siasa zaidi ya CHADEMA kwasababu wanajua CHADEMA ni chama cha watu, na mimi nilimwambia Hayati Magufuli kuwa ukimuua Mbowe unaweza lakini huwezi kuiua CHADEMA, kwasababu CHADEMA ni imani ya watu. Pia amewataka wanaMagu...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni, ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi na zenye mrengo wa kutaka kuligawa taifa, ambapo amesema serikali haitavumilia vitendo hivyo. == Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania John Cheyo: Hakuna chama cha upinzani ambacho ni kikubwa kuliko vyama vingine

    Mwenyekiti wa Chama cha UDP anasema hakuna chama cha upinzani ambacho ni kikubwa kuliko vingine. "Tunaona kuna chama tawala na kuna chama kinajiita sisi kikubwa!, hakuna chama cha upinzani kikubwa kuliko vingine, namshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kutaka mchakato wa Katiba mpya uwe...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: CCM inatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na vyama vingine

    "Ikumbukwe kuwa CCM inatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na vyama vingine hivyo, katiba sheria na kanuni lazima zifatwe.”-Rais Dkt. Samia Suluhu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amezungumza hayo wakati akifungua mkutano wa kumi wa CCM uliofanyika leo mkoani Dodoma. Katika...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanaonekana wa muhimu kuliko vyama vingine awamu ya sita?

    Chadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina Lipumba na Zito hata Mbatia wamepotelea Wapi kwenye ramani ya siasa? Lakini pia kuitwa kwao ikulu...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo yoyote ya kuboresha Tume ya Uchaguzi yatainufaisha CHADEMA zaidi dhidi ya vyama vingine

    Kilichopelekea Chadema kufanya vibaya uchaguzi uliopita pengine ni kukosa Uhuru wa Kufanya Siasa, Uhuru wa kuwafikia watu, uhuru wa kufanya mikutano ya hadhara, uhuru wa mikutano ya ndani, na kikubwa zaidi ni muundo mzima wa uchaguzi. Kwahiyo baada ya uchaguzi wa 2020, Chadema wakaanza kudai...
  8. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya CCM mnafanya mikutano ya hadhara kama wabunge wa wapi?

    “Kwa sasa tunaruhusu mikutano ya ndani, isipokuwa kwa wabunge wenye majimbo” Samia Suluhu Hassan, Madam President. Sasa nyie Secretariat ya CCM mmeenda Zanzibar mkafanya mkutano huko mpaka watoto wadogo wakaanza vijembe kwa kina Mbowe. Sasa mko Mikoa ya Songwe na Rukwa, huyu katibu mwenezi...
  9. T

    JamiiForums Tanzania CCM wadai kuwa na wanachama hai milioni 12. Natamani kusikia kwenye database ya vyama vingine

    Kama tujuavyo kuwa kwenye shughuli ya siasa mtaji ni wanachama, CCM wanadai kuwa wana wanachama hai wapatao milioni 12. Ningetamani kujua na vyama vingine waweke data za wanachama wao hadharani. Hii itasaidia sana kuwahamasha makada kufanya mapitio ya mipango na mbinu mbalimbali za kuongeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…