Wapenzi wa vyakula, habari zenu!
Hivi ukiambiwa vyakula vya Pwani, lazima kuna chakula kinachokujia kichwani haraka. Iwe ni pilau, biriani, wali wa nazi, samaki wa kupaka, urojo, viazi vya karai, vitumbua au mkate wa sinia, kila kimoja kina ladha yake!
Sasa hebu tujuane kupitia mapishi yetu. 😋...