Yaani, viwanja saa nne asubuhi vimetangazwa vinaamza kuuzwa, Mimi nisha log in dakika 10 kabla.
Viwanja vikaachiwa watu wachague nakiona kabisa kiwanja hiki hapa kimefunguka nikiendelea mbele naambiwa hamna kiwanja kishachukuliwa, naenda kingine vivyo hivyo
Changa la macho tunapigwa na...