Karibu vituo vyote vya mabasi madogo ya abiria (maarufu kama daladala) katika Manispaa ya Morogoro, ni kawaida kukutana na wafanyabiashara wadogo (wamachinga) wakitembeza bidhaa zao mikononi.
Huwafuata wateja huku na huko, wakitangaza bidhaa kwa sauti za kuvutia ili kuwashawishi wanunuzi kabla...
Mkurugenzi wa baraza la manispaa mjini Bi Hasna Attai Massoud Leo mapema amefanya ziara ya kushtukiza ya ukaguzi wa vituo vya dala dala visivyo rasmi ambavyo vilivyo pigwa maraufuku ndani ya manispaa ya mjini pamoja na uwekaji mbaya wa magari.
Katika ziara hiyo Bi Hasna amesema kuwa hali...
Sasa hivi Walokole wameamua kugawana hadi vituo vya daladala, Wakiwa na spika zinazounguruma, ni mwendo wa mahubiri tu mwanzo mwisho.
Mimi ninachojua kuna taratibu za kuendesha haya mambo ya mahubiri. Kuna ishu ya kelele, pia ambayo ni lazima idhibitiwe kwa mujibu wa sheria ya mazingira...
Wakuu
Haya Matangazo ya viwanja "Vinauzwa na Hati" yanayosikika karibu kila kituo cha daladala hapa mjini Dar kupitia sauti kubwa kutoka kwenye spika zilizowekwa, ni kero kubwa kwa abiria na wananchi kwa ujumla. Kila ukigeuka, unaskia matangazo yanayohusiana na viwanja vinavyouzwa, na hivyo...
Serikali ikiendelea kupiga hatua dhidi ya uboreshaji wa elimu Tanzania mkoa wa mwanza unakabiliwa na changamoto wanafunzi kukaa mda mrefu kwenye vituo vya magari kwa kukosa kipaumbele mda wa jioni hasa kipindi cha mitihani ya taifa.
Adha hiyo hutokana na wanafunzi kutokupewa kipaumbele cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.