Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Cecilia Pareso, ambaye pia aligombea Ubunge wa Jimbo la Karatu lakini hakufanikiwa kupata kura za kutosha katika uchaguzi wa ndani uliompa ushindi Daniel Awaki, ameonesha ukomavu wa kisiasa kwa kupanda jukwaani kwa mara ya pili kumuombea Awaki...
Ndoto za waliokuwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kurejea bungeni huenda zikakwama baada ya kushindwa kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha.
Wabunge hao ambao wamapata kura pungufu, sasa watasubiri huruma ya Kamati Kuu ambayo ndiyo itatoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.