Marekani imeondoa maombi yote ya usafirishaji wa bidhaa kupitia Rzeszow, Constanta, na Varna kwa ajili ya Ukraine.
Usafirishaji wa silaha na vifaa vya kijeshi kwenda Ukraine kupitia kambi za NATO barani Ulaya umesitishwa.
Kwa makadirio ya awali, hili linahusisha maelfu ya tani za silaha na...
Mojawapo ya ahadi zake na pengine iliyomuongezea kura na kupata wafuasi wengi wa Sera zake, Ni ile ya kumaliza vita vya Ukraine ndani ya masaa 24 Mara tu Baada ya kuapishwa. Trump aliapishwa Jana jioni na masaa 24 yatatamatika Leo mida ya saa mbili usiku. Je kufikia mda huo vita ya Ukraine na...
Trump aliapa atawekeza nguvu kubwa kuleta makubaliano ya kuituliza vita ya Ukraine na Russia, Siku chache baada ya kushinda uraisi, Putin rais wa Urusi alisema yupo tayari kwa majadiliano ya kuimaliza vita.
Hii imewauma sana Democrats, Kwamba Trump anaenda atajizolea points akiimaliza vita...
Siyo siri kwa sasa. Inaelekea Vita ya Ukraine haiungwi mkono na wamarekani. Na Trump aliahidi kuimaliza vita hii ndani ya siku moja kwa kukata misaada yote ya kivita kwa Ukraine.
Trump mara kwa mara amesikikia akisema huyu bwana mdogo Zelensky kila akija Waashington anabeba kitita chetu cha...
Waziri wa ulinzi wa Korea Kusini, Kim Yong-hyun, amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa kwamba wanajeshi sita wa Korea Kaskazini waliuawa katika shambulizi la makombora nchini Ukraine karibu na Donetsk mnamo tarehe 3 Oktoba.
Hii inakuja wakati ambapo mahusiano kati ya Pyongyang na Moscow yanazidi...
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amekutana na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy katika jengo la Trump Tower huko New York mapema Ijumaa wiki hii na amemuahidi kumaliza haraka vita kati ya Urusi na Ukraine ikiwa atashinda kiti cha Urais wa Marekani.
“Tuna uhusiano mzuri sana na pia...
Hawa Akina Lissu, na wenzake na wapinzani wengine wote tuwaunge mkono,
Tusikubali wanyanyaswe, tupaze sauti ya haki Kwa watu wetu,
Tubadilike tuwe kizazi cha kuhoji mara Kwa mara, tuhoji mapato yatokanayo na rasilimali zetu yanafanya nini miaka yote ya uhuru,
Tuhoji mapato viwanja vya ndege...
Wale wanaojidai kuwa huko marekani kuna uhuru na demokrasia isiyo na mipaka wajifunze kwenye matukio kama haya na waelewe kuwa dola siku zote hutumia maguvu.
========
The FBI and state police on Wednesday conducted a raid at the home of Scott Ritter, a former UN weapons inspector and current...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.