vita ya ukraine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yesha

    Wananchi 15 kutoka Zimbabwe waliodanganywa na kuingizwa kupigana kwenye vita ya Ukraine wafariki dunia

    Serikali ya Zimbabwe imethibitisha kuwa raia 15 wamefariki dunia baada ya kudanganywa na kuingizwa kwenye mapigano ya vita kati ya Urusi na Ukraine, huku wengine 66 wakiendelea kushiriki katika vita hivyo. Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri wa Habari, Zhemu Soda, alisema waathirika...
  2. City Of Lies

    Urusi haina mpango wa kuwarejesha Wakenya wanaopigana vita ya Ukraine

    Serikali ya Urusi imesema hakutakuwa na mpango wowote wa kuwarudisha nyumbani Wakenya wanaodaiwa kuhudumu katika jeshi la Urusi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Musalia Mudavadi na Waziri mwenzake wa Urusi Sergey Lavrov wamesema mataifa hayo mawili hayakuwa sehemu ya mikataba iliyotiwa saini na...
  3. Mhaya

    Wanajeshi wa Urusi wawaita Wanajeshi wa Afrika "Takataka" wakiwa wote vitani Ukrein

    Moja ya jambo linalotembea mtandaoni ni video inayoonesha Wanajeshi wa Kirusi waliokuwa vitani Ukreni wakiwa wameketi na Wanajeshi wa Afrika, Porini katika baridi kali. Huku Wanajeshi hao wa Kiafrika wakiwa wanaimba nyimbo za Kiswahili zenye kiitikio cha "Moto unawaka" ambacho ni kiashiria kuwa...
  4. MakinikiA

    Vita ya Ukraine ni ya Kimkakati, angalia utajiri wa eneo la Donbas ambalo Putin atalichukua kwa jeshi

    Discovered reserves of the system are 1.6 billion barrels of oil . 59 trillion cubic feet of gas. More than one-half of the reserves are in Lower Permian rocks below the salt seal. Aluta kontinua Russia
  5. Mindyou

    Trump amuita Putin "kichaa" baada ya Urusi kurusha makombora 360 kwenda Ukraine siku ya Jumapili

    Wakuu, Mnakumbuka Trump alivyoingia madarakani alijinadi akisema kuwa anammudu Putin na kwamba akiingia tu madarakani ataimaliza hiyo vita "ON DAY ONE?" Yaani it seems kabisa matarajio yake na alichokutana nacho ni tofauti kabisa. Naona sio Putin wala Zelensky wanayemsikiliza. Ni kama he was...
  6. H

    Askari wa China wakamatwa mateka nchini Ukraine wakiwa sehemu ya wapiganaji wa Urusi

    Ukraine imefanikiwa kuwaua wapiganaji kutoka China wakiwa pamoja na askari wa Urusi nchini Ukraine. Askari wawili wachina walikamatwa mateka, na wapo kwenye gereza nchini Ukraine. China daima imekuwa ikisisitiza kuwa haiisaidii Urusi kupigana na Ukraine kwa namna yoyote ile, lakini habari za...
  7. Donnie Charlie

    Rais wa Ukraine Volodmyr Zelensky amtabiria kifo Putin na kuapa kwamba huo ndo utakuwa mwisho wake

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amedai kwamba Vladimir Putin "atakufa hivi karibuni" huku tetesi zikienea kuhusu afya yake. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Paris baada ya mkutano na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, Zelensky alisema: "Atakufa hivi karibuni, hilo ni jambo la...
  8. S

    Baada ya Marekani kusitisha misaada, Urusi yafyatua Kombora nchini Ukraine katika harakati za kuichukua Kursk

    Hali inazidi kuwa ngumu kwa Ukraine baada ya majeshi ya Urusi kuanza kuchukua udhibiti wa maeneo yaliyo Kursk ambayo yalikuwa yanadhibitiwa na Ukraine tangu Agosti 2024. Russia ilifyatua makombora aina ya cruise na makombora ya balistiki kuelekea Ukraine katika shambulio kubwa usiku kucha...
  9. Mindyou

    Rais wa Ukraine Zelensky atangaza kikao kingine na Marekani kitakachofanyika nchini Saudi Arabia

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ametangaza kuwa mazungumzo kati ya Ukraine na Marekani yatafanyika Saudi Arabia wiki ijayo, akielezea matumaini kuwa mkutano huo utakuwa na maana katika juhudi za kusaka amani ya kudumu. Zelensky hatahudhuria mazungumzo hayo lakini amesisitiza kuwa Kyiv...
  10. Mindyou

    Kiongozi wa CIA atangaza Marekani kusitisha kuipa Ukraine taarifa zozote za kijasusi na za kiusalama zinazohusiana na vita

    Wakuu, Baada ya kukata misaada ya kifedha na misaada ya silaha Ukraine sasa Trump ameamua kuikatia Ukraine taarifa zote za kijasusi na za kiusalama zinahusiana na vita yao dhidi ya Urusi. Taarifa hii imetolewa muda mchache uliopita na gazeti la Marekani la Financial Times ikiwa pi ni siku...
  11. R

    Mbona mapema sana ? Baada ya Zelensky kukataa kusaini mkataba wa madini Marekani na kutimkia ulaya, kabadili msimamo yupo tayari kusaini,

    Siku chache zilizopita Zelensky alitrend kweny vichwa vya habari kwa kukataa kusaini mkataba huku baadhi ya vyombo vikimsifu ni shupavu, hodari, Hero, n.k. Zelensky alidhani kwamba baada ya kukimbia Marekani na kuelekea Ulaya angeliweza kupata msaada mkubwa zaidi, Lakini alijikuta na mshangao...
  12. Mindyou

    Baada ya Trump kumdhalilisha Zelensky, Waziri Mkuu wa Uingereza atangaza kuwa UK iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine

    Wakuu, Baada ya Trump kuonekana kuanza kuringaringa na kumnyanyasa Ukraine, Uingereza imeamua kuuvaa wenyewe huu ugomvi. Akiwa anaongea hivi karibuni, Starmer amesema kuwa ukiachana na Euro Bilioni 2, Uingereza pia iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine kupambana na Urusi na pia iko...
  13. Jidu La Mabambasi

    Tanzania tujifunze hili somo la vita ya Ukraine na Urusi: vita vyaweza kuuza nchi

    Kama kuna kitu nimejifunza kutokana na kurushiana maneno kati ya Trump na rais wa Marekani na Zelensky wa Ukraine, ni kwamba vita vinaweza kusanbabisha mtu kuuza nchi yake. Marekani imetumia pesa nyingi kumsaidia Ukraine kupambana na Urusi. Pesa hizo ziko kwa mfumo wa vifaa vya kijeshi na...
  14. S

    Marekani na Urusi zimetangaza kuunga mkono maazimio ya Umoja wa Mataifa kuhusu Ukraine

    Katika hali ya kushangaza, Marekani iliungana na Urusi wakati wa upigaji kura katika baraza kuu la umoja wa mataifa kuhusu maazimio ya kuleta amani nchini Ukraine. Katika kura hizo zilizopigwa mnamo tarehe 24 Februari 2025, kwanza Marekani , Urusi pamoja na nchi nyingine kama Korea Kaskazini...
  15. S

    Tujifunze kupitia Zelenskyy na vita ya Ukraine

    Trump na Elon Musk wanamuita Zelensky dikteta,asiye na huruma,asiyependa watu wake, tapeli n.k. Mazungumzo ya kumaliza vita yanafanyika Saudi Arabia bila uwepo wa Ukraine, Zelensky anaambiwa atoe sehemu ya madini yake muhimu kwa Marekani Ili kufidia gharama za vita, Urusi kachukua maeneo muhimu...
  16. Mindyou

    Rasmi Urusi na Marekani wakutana Saudi Arabia kumaliza vita ya Ukraine, Zelensky hajaitwa kuhudhuria kikao

    Kipindi akiwa kwenye kampeni za kutafuta Urais mwaka 2024, Rais wa Marekani Donald Trump aliahidi kumaliza mgogoro kati ya Ukraine na Urusi Mwezi takribani mmoja baada ya kuapishwa, tayari mazungumzo yameanza kufanyika ili vita hiyo iliyoanza rasmi mwaka 2022 imalizike Jumanne ya leo Russia na...
  17. K

    Nasubiria kwa hamu vita ya Ukraine iishe nikatafute kazi

    Binafsi sijui vita vya Ukraine itaisha lini, lakini naimani Kwamba Ile vita siku ikiisha tu, kutakuwa na ujenzi mkubwa sana wa miundombinu chini ya ufadhili wa nchi washirika wa Ukraine, ambao ni USA na mataifa ya EU, hivyo manpower kubwa sana itahijika na kazi zitakuwa nyingi sana za ujenzi...
  18. Sir John Deere

    Trump athibitisha kuongea na simu na Putin kwa zaidi ya saa 1 na nusu. Mazungumzo kati ya Putin na Zelensky yataanza mara moja!

    Kupitia akaunti yake ya Truth Social Rais wa Marekani Donald Trump siku ya leo amesema kuwa amempigia simu Rais wa Urusi Vladimir Putin. Trump amesema kuwa simu yake na Putin imedumu zaidi ya saa 1 na nusu na kudokeza kuwa wawili hao wamekubaliana kufanya lazi pamoja. Katika ujumbe wake pia...
  19. Intricate

    Kwa kauli hii ya Zelensky kuhusu misaada ni wazi kuwa upigaji na ubadhirifu haupo Afrika tu, hata Wazungu wanapiga

    Kwa mbali kama naanza kumuelewa Trump. Hivi karibuni, nimeona Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy akisema kuwa kati ya Dola Bilioni 177 ambazo zilipitishwa na Bunge la Marekani ni Dola Bilioni 77 tu zimefika kama misaada ndani ya Ukraine. Zelensky akizungumza na wanahabari hivi karibuni...
  20. sanalii

    Trump ameshashindwa kusitisha vita ya Ukraine kama alivyoahidi

    Aliahidi ndani ya saa 24 za kua ofisini atasitisha vitaa ya Ukraine, ila mpaka sasa ni kama ameshaona moto ni mkali sana. Zaidi alivyoondoa misaada Ukraine ndio Russia itajipigia zaidi. Huyu mzee kitu pekee anachoweza kukifanya ni kumridhisha Israel
Back
Top Bottom