vita ya gaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ELI COHEN

    Gaza kuna kitongoji cha watu weusi wengi kinaitwa Al-abeed yaani Watumwa

    Gaza kuna kitongoji cha watu weusi wengi kinaitwa al-abeed yaani "watumwa", nioneshe mahali US au israel palipo na watu weusi wengi na panaitwa SLAVES Hadi leo wanaitwa watumwa. Hata baada ya miaka kadhaa na dunia kupokea ustaarabu lakini bado wanadharaulika kwa kile walichowafanyia wenyewe.
  2. Ritz

    Rais Trump wa Marekani asema Israel, Hamas zimetia saini awamu ya 1 ya mpango wa amani wa Gaza

    Wanaukumbi. CAIRO - 8 Oktoba 2025: Rais wa Marekani Donald Trump alisema Jumatano kwamba 'anajivunia sana kutangaza kwamba Israel na Hamas zote zimetia saini Awamu ya kwanza ya Mpango wa Amani wa Gaza.' "Hii ina maana kwamba mateka wote wataachiliwa hivi karibuni, na Israeli itaondoa Wanajeshi...
  3. ELI COHEN

    Kwanini leo Hamas ahangaiki kuikomboa Jordan?

    80% ya nchi ya Jordan ni sehemu ya iliyokuwa BRITISH MANDATE OF PALESTINE kabla ya wayahudi kurudi kwao. Kwanini leo hamas ahangaiki kuikomboa Jordan? Ndio hapo utakapogundua itikadi ndio inayocheza nafasi. Ni ugaidi unaofanyika katika kivuli cha kutafuta haki na ustawi
  4. Ritz

    Iran yaanza kujibu mashambulizi yarusha mamia ya drones kuelekekea Israel

    Wanaukumbi JUST IN: Iranian suicide drones have entered Jordanian airspace and are heading toward Israel. UK, US and Israel, with support from Arab nations are working to intercept them. ================ Ndege zisizo na rubani za Iran za kujitoa mhanga zimeingia kwenye anga ya Jordan na...
  5. Webabu

    Wakristo wote duniani wangekuwa kama Antonio Gueteres basi kusingetokea vita vibaya kama Gaza..

    Habari za waislamu hasa wa jamii ya kiarabu tuziwache pembeni kwanzo,kwani matatizo yao ni mengine kabisa. Ama kwa wakristo duniani basi wangekuwa wanajitambua vizuri basi wangemuiga katibu mkuu wa UN. Katibu mkuu huyo alizaliwa mwaka 1949 na ni raia wa Ureno akiwa ni mfuasi wa dini ya...
  6. U

    Mwanajeshi wa IDF adondoka na kufariki ghafla akiwa kwenye mafunzo

    Wadau hamjamboni nyote? Sajenti wa IDF Yosef Haim Tzvi Serlin, mwenye umri wa miaka 19 kutoka Jerusalem, alianguka wakati wa mazoezi ya kivita na Kitengo cha 504 kaskazini mwa Israel siku ya Jumatano na baadaye alifariki, jeshi limetangaza. Mwanajeshi huyo alipewa matibabu papo hapo na...
  7. Echolima1

    Tetesi: Misri ipo mbioni kupokea wakimbizi kutokea Palestina

    Huenda Misri inaweza kubadili msimamo wake wa muda mrefu wa kukataa wakimbizi wa Kipalestina kutoka Gaza. Kwa mujibu wa Al Akhbar, Rais Abdel Fattah El-Sisi anafikiria kuruhusu hadi Wapalestina 500,000 kuingia Sinai kwa muda wakati Gaza ikikarabatiwa. Mapema mwezi huu, Misri iliwasilisha mpango...
  8. Echolima1

    Israel wafanya shambulizi jipya Gaza na kuua watu 300

    Wakuu, Jeshi la Israel limefanya mashambulizi makubwa Gaza, likisema linashambulia ngome za Hamas. Wizara ya Afya ya Hamas imeripoti vifo vya watu 330. Mashambulizi yalianza alfajiri wakati wa daku, yakilenga Gaza City, Rafah, na Khan Younis. Israel imesema operesheni hiyo ni kujibu kukataa...
  9. Echolima1

    Israeli yaachana maamuzi ya kusitisha mapigano Gaza, yaua zaidi ya watu 400

    🚨BREAKING: IDF imethibitisha rasmi kuwa imefanikiwa kuwaangamiza magaidi 6 wa Hamas leo ndani ya Ukanda wa Gaza. Mmoja wao alishiriki katika mauaji ya Oktoba 7, mmoja alikuwa amevaa kama mwandishi wa habari, na mmoja alikuwa amevaa kama mpiga picha.
  10. Webabu

    Trump atoa onyo la mwisho kwa Hamas. Atangaza kuipa Israel kila aina ya msaada ili kuimaliza vita ya Gaza!

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo la mwisho kwa Hamas kuachilia mateka walioko Gaza, akisisitiza kuwa Marekani inaiunga mkono Israel kumaliza suala hilo. Hii inakuja muda mfupi baada ya Ikulu ya Marekani kuthibitisha kuwa inafanya mazungumzo ya moja kwa moja na Hamas, kinyume na sera...
  11. Ritz

    Video; Maandamano Tel Aviv kumpinga Netanyahu

    Wanaukumbi Maelfu ya waandamanaji katika miji mbalimbali ya Israeli wametaka usitishaji mapigano kati ya Israel na Hamas uendelee na mateka zaidi waachiliwe. Kadiri hatua ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano ilivyomalizika Jumamosi, watu walikusanyika Tel Aviv, Haifa na kwingineko...
  12. Echolima1

    Je, alichokifanya Ismail Hanniyeh kufurahia mauaji ya oct 07,2023 ni halali kwa mjibu wa uislamu?

    Baada ya Mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 Gaidi ISMAIL HANNIYEH alionekana kwenye vyombo vya habari akifurahia mauaji hayo na kuonekana akiongoza sala kumshukuru Allah wake kwa kufanikisha mauaji ya kutisha yaliyofanyika siku hiyo Oct 07,2023. Mimi nauliza kwa mjibu wa dini ya kiislamu ni sawa...
  13. Yoda

    Trump aweka video ya maono yake ya jinsi ataibadili Gaza kuwa sehemu ya kula bata.

    Ameposti video kwenye mtandao wake wa Truth Social jinsi anavyoina Gaza ya siku za mbeleni kupitia mpango wake wa Gaza riviera.
  14. R

    Marubani wa kike walifanya shambulio la aibu na uharibifu mkubwa kwenye jamhuri ya kiislam ya Iran, kwanini Iran inasita kulipa kisasi?

    Mnamo Oktoba 1, 2024, Iran ililenga Israel kwa makombora 200, Ni mashambulizi makubwa lakini athari zilikuwa kidogo, Mabomu mengi yalikosa target yalitua nje ya mji, Mtu mmoja aliuawa ambae ni Mpalestina baada ya bomu kukosa target kwa kutua Palestina. Israel ikajibu October 26, hawakurusha...
  15. J

    Hamas yakubaliana na agizo la Trump. Yatangaza kuachilia mateka wengine 3 siku ya Jumamosi

    Hamas imetangaza Alhamisi kuwa itawaachilia huru mateka watatu wa kutoka Israel kama ilivyopangwa. Awali, Hamas ilikuwa imetishia kuchelewesha kuachiliwa kwa mateka, ikidai Israel haijatimiza makubaliano ya kupeleka mahema, hifadhi, na misaada mingine. Israel, ikisaidiwa na Rais wa Marekani...
  16. Ritz

    Afisa wa Saudia amtolea uvivu Trump. Asema kama anataka amani basi awapeleke wananchi wa Israel Alaska au Greenland

    Wanaukumbi. Saudi official Al-Saadoun says if Trump wants to be a 'hero of peace', he must move his Israeli loved ones to Alaska and then to Greenland after annexing it. ===================== Afisa wa Saudi Al-Saadoun anasema ikiwa Trump anataka kuwa 'shujaa wa amani', ni lazima awahamishe...
  17. U

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahau amteua Meja Jenerali Eyal Zamir kuwa Mkuu mpya wa Majeshi

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amemteua Meja Jenerali Eyal Zamir kuwa mkuu mpya wa majeshi ya Israel (IDF), akichukua nafasi ya Luteni Jenerali Herzi Halevi, ambaye ataondoka madarakani Machi 6. Uteuzi wa Zamir unakuja wakati Israel inakabiliwa na changamoto kubwa za kiusalama...
  18. Jackal

    Rais Trump asitisha visa za wanafunzi wa kigeni walioandamana kuipinga Israeli baada ya mashambulizi ya kigaidi ya Oktoba 7,2022

    Rais wa Marekani, Donald Trump, alisaini agizo la kupambana na chuki dhidi ya Wayahudi na kuahidi kuwafukuza wanafunzi wa vyuo vikuu wasio raia pamoja na wengine waliokuwa sehemu ya maandamano ya kuunga mkono Palestina dhidi ya Israel. Agizo hilo kutoka kwa Trump lilisema kuwa Wizara ya Sheria...
  19. Mindyou

    Donald Trump amualika Benjamin Netanyahau Ikulu ya White House. Vita ya Gaza inaelekea kuishia?

    Rais Donald Trump amemualika Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kutembelea Ikulu ya White House wiki ijayo, ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi wa kigeni katika muhula wake wa pili. Ziara hii inakuja wakati Marekani inashinikiza Israel na Hamas kuendeleza usitishaji mapigano...
  20. W

    Uhamisho wa wakazi wa Gaza kwenda Indonesia kwa muda wapendekezwa na timu ya maridhiano ya kusitisha vita ili kuikarabati Gaza

    Timu ya maridhiano ya usitishaji wa vita imeshauri kuhamisha Wapalestina wa Gaza kwenda Indonesia kwa muda hadi Gaza itakapojengwa upya. Wazo hilo limewekwa wazi na Steve Witkoff ni mshauri wa masuala ya kimkakati katika timu ya Trump anaeshiriki katika juhudi za kutafuta suluhu la amani...
Back
Top Bottom