Gaza flotilla ni msafara wa meli ulioandaliwa na wanaharakati wa kimataifa, mashirika ya kiraia, na watu binafsi wenye lengo la kupeleka misaada ya kibinadamu moja kwa moja kwa watu wa Gaza.
Umeungwa mkono na mataifa 16 ambayo yametoa wito wa kulindwa kwake na kuheshimiwa kwa sheria za...