visima vya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    KERO Wakazi wa Nyegezi (Mtaa wa Mpambije Street na Kumalija) Wanalazimika Kuchimba Visima vya Maji Kutokana na Ukosefu wa Huduma ya Maji

    Wakazi wa Nyegezi (Mpambije Street, Ellys na Kumalija) Wanalazimika Kuchimba Visima vya Maji Kutokana na Ukosefu wa Huduma ya Maji Ukosefu wa maji umeendelea kuwa kero kubwa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza, hususan katika mitaa ya Mpambije Street, Ellys na Kumalija, Nyegezi. Kwa kipindi kirefu...
  2. Nipe Maji

    GE2025 Mgombea Urais ADC aahidi kila halmashauri kuwa na magari ya kisasa ya kuchimbia visima vya maji

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe, amesema serikali ya ADC itahakikisha kila halmashauri nchini inakuwa na magari ya kisasa ya kuchimba visima vya maji, ili kumaliza kabisa tatizo la maji safi na salama...
  3. V

    Tunachimba visima vya maji

    Je, unahitaji kuchimba kisima cha kisasa cha maji safi na salama? Kama uko Dar es Salaam, tumekupa picha tu ya water table na kina cha mita kwa maeneo tuliyochimba visima. Feri_ kigamboni mita 50 Kisota _Kigamboni mita 70 Geza_Kigamboni mita 70 Dege_Kigamboni mita 60 Mbutu...
  4. Tlaatlaah

    Gwajima aelimishwe juu ya wajibu wa Jeshi la polisi wa kulinda usalama wa raia, mali na makazi na sio ujenzi wa barabara au uchimbaji visima vya maji

    Afundishwe vyema pia kwamba hakuna namna nchi inaweza kuacha jambo muhimu sana kama la ulinzi wa Taifa, watu, mali na makazi yao likafanywa na makampuni binafsi ya ulinzi, kwasababu tu eti jeshi la polisi liko na shughuli au tenda nyingi za ujenzi wa barabara na uchimbaji visima vya maji...
  5. DR HAYA LAND

    Kwa sasa Makanisa na misikiti inatosha , ikiwa kuna taasisi inahitaji kutoa Msaada wa kujenga Kanisa na Msikiti hiyo pesa wajenge visima vya maji

    Kwa Tanzania tuna misikiti Mingi na makanisa mengi Sana . Na ukiangalia idadi ya watu wanaosali bado ni Chache Sana . Ikiwa tutaangalia mahitaji hasa ya jamii tunaweza kubadilisha matumizi ya hizo pesa. Mfano wafadhili ambao hujitolea kujenga misikiti na makanisa , jaribuni kufikiri hilo...
  6. V

    Wachimbaji visima vya maji safi

    ✍️KARIBUNI SANA Wells technology wachimbaji visima vya maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu wanyama na mimea Leo tutakupa hatua FUPI za kufata KABLA HUJACHIMBA KISIMA Cha kisasa ✍️hatua ya kwanza ni geophysical survey yaan utafiti wa maji ardhini katika eneo lako hapo atakuja mtalaam na...
  7. V

    Wachimbaji visima vya maji safi na salama

    UTARATIBU WA KUCHIMBA KISIMA. 1. Ukitaka kuchimba kisima unatakiwa kufanya utafiti wa awali ili:- ● Kuangalia jiolojia ya eneo husika ● Kuangalia uwezekano wa kuwepo mikondo ya maji ardhini ● Historia ya eneo husika kuhusiana na suala la maji. 2. Gharama za kuchimba kisima/Visima hutegemea...
  8. V

    Tunachimba visima vya maji vya kisasa

    Karibuni Sana wells technology wachimbaji wa visima vya maji safi na salama borehole gharama za uchimbaji kisima ni kwa mita Dar es salaam na pwani mita moja 90,000 Mikoani mita moja 140000 Gharama zinacover uchimbaji mpk kufunga pump mawasiliano 0657710078 . 0769509666
  9. V

    Tunachimba visima vya maji

    Karibuni sana wells tunachimba visima virefu vya maji safi Wengi wanauliza gharama za kuchimba kisima gharama za uchimbaji hutozwa Kwa mita geology ya eneo husika aina ya ardhi kama mfinyanzi jiwe mchanga Mteja fanya survey kupitia wataalam wa maji ujue eneo lako Lina maji umbali GANI then...
  10. V

    Wachimbaji visima vya maji vya kisasa

    TUJIFUNZE HATUA ZA KUFATA KABLA HUJACHIMBA KISIMA CHAKISASA (#borehole ) 1.#geophysicalsurvey HII NI HATUA YA KWANZA UPEMBUZI YAKINIFU KUJUA UWEPO WA MIKONDO YA MAJI NA IKO MITA NGAPI NA UZALISHAJI WAKE WA MAJI 2.#boreholedrilling HAPA NDIO SHUGHULI NZIMA YA UCHIMBAJI HUFANYIKA KWA KUTUMIA...
  11. V

    Tujifunze hatua za kufata kabla hujachimba kisima cha kisasa (borehole)

    Tujifunze Hatua za Kufata Kabla Hujachimba Kisima cha Kisasa (borehole) Geophysical Survey Hii ni hatua ya kwanza ya upembuzi yakinifu kujua uwepo wa mikondo ya maji, iko mita ngapi chini na uwezo wake wa uzalishaji wa maji. Borehole Drilling Hapa ndipo shughuli nzima ya uchimbaji hufanyika...
  12. Pfizer

    Taasisi ya MO Dewji yabisha hodi kwa Waziri Aweso, inataka kuchimba Visima vya maji sehemu zisizo na Maji safi na salama

    Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amekutana na kufaya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya MO Dewji, Imran Sherali ambaye ameambatana na Mbunge wa Singida Kaskazini, Mhe. Ighondo Ramadhani na mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Bupe Mwakang’ate jijini ofisi ndogo za Wizara ya Maji DUWASA...
Back
Top Bottom