vipaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BEITO: Tunahitaji vijana wenye vipaji vya; Kusuka, Kupaka kucha rangi, Kufanya make-up na Kunyoa mitindo mbalimbali

    TANGAZO LA KAZI TAREHE 23, DISEMBA 2020. BEITO IINTERNATIONAL COMPANY LTD, tunajihusisha na shughuli za usafi na urembo. Ofisi zetu zipo Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni, Mwenge, ITV. Tunatangaza nadfasi za kazi kwa vijana wa kike na kiume wenye vipaji na ujuzi wa kutoa huduma zifuatazo...
  2. Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimejaa Afrika na hatufanyi maajabu?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimeja sana Afrika na hatufanyi maajabu? Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanaume ya...
  3. Je, tuendelee kutilia mkazo watoto wetu kusoma masomo ya sayansi au tukomae na kukuza vipaji?

    Habari wadau! Baada ya kimya kirefu leo vidole vimeniwasha nimeamua kuandika thread . Nauliza tu je kuna ulazima kuwasisitiza watoto wetu kukomaa na masomo ya sayansi ambayo ki uhalisia yanaonekana kuwashinda wengi au tukomae na kuakikisha tunagundua vipaji vya watoto wetu ASAP(As Soon As...
  4. Wewe una kipaji/vipaji gani?

    WEWE UNA KIPAJI/ VIPAJI GANI? Habari wadau. Kuna mtu mmoja niliwahi kumsikia akieleza kuhusu aina 7 za vipaji. Sikufuatilia sana lakini naamini kuwa kipaji kinaweza kukusaidia kutimiza kusudi la kuwepo kwako hapa ulimwenguni. Aina 7 za vipaji: 1) Ubunifu 2) Muziki 3) Hesabu 4) Picha 5) Lugha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…