viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu asili za viongozi wetu una tija kwa Tanzania ijayo?

    Mjadala mkubwa umeibuka kuhusu asili za viongozi waandamizi wa sekta mbalimbali huku hoja zikianzia kwenye mwonekano wa nje wa watu. Wapo wanaofananisha baadhi ya wanafamilia wa wateule au hata wateule na nchi jirani. Je, vetting inapofanyika huzingatia hali ya ndoa au hujikita tu kwa mteule...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa upinzani akina Zitto, Mbatia, Mbowe nk hawahudhurii shughuli za kitaifa?

    Kwa sasa imekuwa ni vigumu sana kuwaona na hata kuwasikia viongozi wetu wakuu wa upinzani katika matukio muhimu. Kwa mfano katika shughuli muhimu kama msiba wa balozi Kijazi au katika tukio la kuapishwa Katibu mkuu kiongozi mpya balozi Bashiru walipaswa kuwepo lakini hawajaonekana. Ni Prof...
  3. JamiiForums Tanzania Magufuli kama Nebukadneza Mkuu wa Dola ya Babeli

    Mwaka 2015 niliandika habari iliyochapishwa na Gazeti la TAZAMA “Magufuli kama Nebukadneza mkuu wa dola ya Babeli” nairudia tena baada ya kusoma Gazeti la RAIA MWEMA. Mwandishi MWANA KIJIJI ameandika “sababu zilizowafanya mitume 11 wasimfuate Yesu majini” Amemshambulia sana Rais Magufuli. 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…