Ni kwamba vyama vya siasa vyaendeshwa na binadamu kama CCM Hivyo kama CCM ni waoongo. kwa ubinadamu wao basi na wenzao ni binadamu huwa wakati mwingine husema urongo. Sasa sema hayo mambo ya uongo ambayo ukiamini kwamba ni ya kweli wakati huo
A political leader who behave like anybody that is not a political leader Lack of emotional intelligence and failure to build relationships! Niwatakie mchana usiku mwema
Mkurugenzi wa Uchaguzi (Katibu wa Tume) wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima katika mahojiano na CG FM Radio amewataka viongozi wa vyama vya siasa kuwashawishi wananchi kujitokeza kujiandikisha katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili lililoanza...
Nianze kwa kupongeza TLS kwa kutuandalia hili kongamano ambalo binafsi limenifungua mambo mengi kuhusiana na sheria ya uchaguzi, na yaliyopo ndani ya Katiba kwa ujumla. Suala wa wasimamizi lilikuwa shida sana pale awali kwa sababu kila kitu kwenye uchaguzi ni serikali inasimama.
Lakini kwenye...
Inaskitisha km siyo kuhuzunisha, kuona kiongozi anaeongoza kundi kubwa la wasomi tena wengine waliomzidi umri na elimu kuongea mbele za watu km muwindaji wa porini alieamua maisha yake ayamalizie kukimbizana na wanyama au ndege.
Siku ya MAY MOSI ni siku ya wafanyakazi kueleza mbele ya kiongozi...
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kuombea uchaguzi mkuu 2025, Alex Msama leo ameongea na wandishi wa habari kuwa Maandalizi ya Tamasha la kuombea uchaguzi yanaendelea vizuri na kuwa Tamasha hilo lipo na litafanyika Tarehe 20, Aprili 2025 katika jiji la Dar es Salaam na baadae...
alex
alex msama
ataka
chafu
kampeni
kuandaa
kuelekea 2025
kuombea uchaguzi mkuu
lugha
mkuu
siasa
tamasha
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
umoja
viongoziviongoziwavyamavyamavyama vya siasa
wakati
Kwasababu bado dhana na hali ya kususia imetanda miongoni mwa vyama vya siasa, ikiwa ni pamoja na vyama vya siasa ambavyo vimeamua kujitenga na michakato ya kidemokrasi na kujikita kutafuta pesa za matumizi ya viongozi wa vyama hivyo hususani tunapoelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewasihi viongozi wa vyama vya siasa kutoingilia utekelezaji wa majukumu ya watendaji wa vituo wakati wa uandikishaji wa wapiga kura.
Angalizo hilo limetolewa mjini Kibaha na Kaimu Mkurugenzi wa tume hiyo, Mtibora Seleman, alipokuwa akizungumza kwenye mkutano wa...
SIPENDEZWI NA TÀBIA YA BAADHI YA WAFUASI NA VIONGOZI WA CHADEMA KUITA VIONGOZI WA VYAMA VINGINE MAJINA YA MATUSI, KEJELI NA DHIHAKA
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Unaweza kutofautiana na Mtu kimtazamo, kidini, kiitikadi, kielimu,kimaumbile, kihadhi, kiuchumi, kiukabila miongoni mwa mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.