viongozi wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wazee mashuhuri mkoa wa Tabora Wafanya Matembezi Kumpongeza Viongozi wa CCM kwa Kuteuliwa Kugombea Urais 2025

    Viongozi wa dini, wazee mashuhuri pamoja na wakazi wa mkoa wa Tabora, wamefanya matembezi katika kila kona ya manispaa ya Tabora kwa lengo la kumpongeza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar Dkt...
  2. JamiiForums Tanzania Ahadi hewa zilizotolewa na Viongozi wa CCM kwa mwaka wa fedha 2024

    1. Ahadi ya Kwanza ilikuwa ni Ikifika July 2024, manunuzi ya luku yatakuwa automated yaani ukinunua umeme hutokuwa na haja ya kuingiza token……zitaingia directly to your meter device Hapa tulipigwa changa na utapeli 2. Umeme kukatika mwisho ilikuwa October 2024 kama alivyoahidi Mzee Doto...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mpango wa Mbowe ni kutaka kuwadhuru baadhi ya viongozi wa CCM na serikali

    Wakuu hiiimekaaje? ni upi uhalisia wa hili kwamba Mbowe ana mpango wa kuwadhuru viongozi wa CCM ifikapo februari 2025?
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro Akabidhi Vyeti vya Mafunzo ya Udereva kwa Viongozi wa CCM Zaidi ya 150

    MBUNGE RUHORO AKABIDHI VYETI VYA MAFUNZO YA UDEREVA KWA VIONGOZI WA CCM ZAIDI YA 150 Ngara; 2/12/2024 Kufuatia kukamirika kwa mafunzo ya Udereva yaliyo tolewa na Chuo cha Lake Zone Driving College kwa Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Ngazi za Kata Wilayani Ngara Chini ya Uratibu wa CCM mkoa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wakitekwa au kupotea viongozi wa CCM hawakemei au kulaani kwa wakati?

    Nadhani viongozi wa CCM wanapaswa kubadili msimamo wao. Kila ikitokea taarifa ya kutekwa au kuuwawa kwa asiye mwana CCM wao ukaa kimya. Kwa kuzingatia umuhimu wa haki ya kuishi niwaombe wabadili response strategy zao na wajitokeze mapema kulaani na kukemea. Ukimya wa CCM umepelekea hata vyombo...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Viongozi wa CCM Tawi la Sokoni, Tabora, waandamana kupinga matokeo ya Uchaguzi

    Wakuu mambo yameanza kuchangamka sasa. Unaweza kusema walichokuwa wanatarajia wamekikosa kabisa! =============== Baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM tawi la SOKONI katika mtaa wa MGUMIA kata ya KIDONGO CHEKUNDU Manispaa ya TABORA wameandamana kupinga kushindwa kwa mgombea wa chama...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Njombe: Diwani Mpete akiwaelekeza Wananchi namna ya kuwapigia Kura viongozi wa CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wananchi wa Kata ya Utalingolo Halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe wamesema Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika hapo Novemba 27 mwaka huu watakwenda kumpigia kura kiongozi atakayekuwa wazi katika utendaji wake ikiwemo kusoma taarifa za mapato na matumizi kila baada...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa UVCCM Tanga, Ramadhan Omar awataka wananchi kuchagua viongozi wa CCM katika nafasi zote "Ndio Chama chenye dira"

    Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Habibu Mbota ambaye pia ni balozi wa maji mkoa wa Tanga akiwa katika harakati za kampeni alisisitiza kuwa uchaguzi huu ni fursa muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi wa CCM watakaowasaidia kuleta maendeleo. Naye, Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Matukio ya viongozi wa CCM kuanza kushambuliwa na kuuawa wa kulaumiwa ni CCM na serikali yake, wameyalea kwa muda mrefu na sasa yanawageukia

    Nimesoma kwamba katibu wa CCM wa wilaya ya Kilolo ameshambuliwa na kuuwawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Hivi karibuni huko Songwe kulikuwa na tukio jingine la katibu wa CCM kuvamiwa wa watu wasiojulikana na kuvunjwa miguu. Songwe: Katibu wa CCM avamiwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kama viongozi wa CCM na Mwenyekiti wao hawawezi kuisikiliza sauti ya Demokrasia ya WanaCCM wenzao unadhani watamsikiliza nani?

    Mtu anayeamini kuwa CCM bado ni chama halisi anajidanganya. Kwa sasa, ni genge la watu wanaoendekeza udhalimu, kusifia na kutetea uovu. Chama kimeshikiliwa na watu wanaotenda uovu bila kujali mateso ya wengine; hawataki kusikia sauti za watu wema waliopo ndani ya CCM. Leo hii, Mr. Nchimbi...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ombi kwa Viongozi wa CCM na serikali yake

    Kutokana na sintofahamu zinazoendelea nchini za kibaguzi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, Nina ombi moja kwa Viongozi wa serikali na chama Cha CCM wafanye jambo moja ili tuondokane na hii ujinga. Ombi langu ni kwamba CCM na serikali yake waitishe referendum ya wananchi kuhusu mfumo wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Sijui mgogoro huu utafika wapi wa Viongozi wa CCM katika Mtaa wa Nera, baadhi hawamtaki Mwenyekiti aliyemaliza muda wake

    Imeelezwa kuna uwepo wa mgogoro wa viongozi wa CCM katika Mtaa wa Nera, Kata ya Isamilo, Manispaa ya Nyamagana. Hayo yanajiri baada ya viongozi kutohitaji uwepo wa jina la Mwenyekiti aliyemliza muda wake (Abubakar Self) kugombea nafasi hiyo kwa mara nyingine kutokana na jitihada zake za kuibua...
  13. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya viongozi wa CCM wana akili kubwa, ila wanachama wa kawaida asilimia kubwa ni wajinga, masikini wa fikra na mali

    Usiwachukulie powa viongozi wa CCM ,ni kikundi cha watu wachache sana wenye akili nyingi, ndio maana wakigundua kule upinzani kuna mtu ana akili kama zao watataka wamvute ili waimarishe timu, Silinde, Kafulila, Katambi, Shonza, na wengineo wengi ni mfano hai. Njoo kwa wananchi wa kawaida sasa...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Viongozi wa CCM wa Kata wakishirikiana na madiwani wao wameanza kuzunguka usiku na kutoa pesa kwa watia nia wa upinzani wajitoe

    Hii tarifa ni sahihi na si muda mrefu tutaweka majina ya Viongozi ambao wanazunguka na pikipk za Samia kwa lengo la kuwarubuni watia nia wa upinzani wajitoe. Baadhi ya maeneo wameanza kufanikiwa hasa maeneo ya vijijini. Angalizo kwa vyama vya upinzani tafuteni wagombea ambao wanajielewa...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wazuri wako CCM, hata ukinuna shauri yako

    Hebu sikiliza wananchi hawa wazalendo nchini, wakielezea uzuri wa viongozi wa CCM kwa video ya wimbo bora kabisa hapa chini. Fanya uwezavyo ndugu mdau, tafuta bando na udownload wimbo huu wa maana sana kwako na kwa Taifa zima 🐒 Mungu Ibariki Tanzania.
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Idadi kubwa ya wananchi wapo tayari kwa Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa na wengi zaidi wataichagua CCM

    Hamasa kubwa inatokana na wito wa mwenyekiti wa CCM taifa katika ziara zake maeneo mbalimbali nchini, na hivi karibuni akiwa mkoa wa Ruvuma, alitoa wito na kuwarai wananchi kwamba wanapaswa kuichagua CCM, kwasababu ndicho chama pekee nchini cha kuaminika ndani na nje ya nchi. Lakini pia ndicho...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali na Polisi mnahamasisha wananchi kujichukulia sheria mkononi, msipodhibiti watu wasiyojulikana gharama yake itakuwa kubwa mbeleni

    Wakuu salam, Tumeshuhudia na bado tunaendelea kuona matukio mbalimbali ambayo yanahusisha watu kutekwa huku wahanga wakubwa wakiwa ni wale ambao wanakosoa au kupinga mambo fulani kwenye mamlaka mbalimbali za serikali, wachache wanapatikana na wengine bado inaendelea kuwa kitendawili. Mbaya...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Amos Makala apokelewa Wilayani Karatu, afanya mazungumzo na Viongozi wa CCM na serikali kutoka Ngorongoro

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Makala Amepokelewa kwa shangwe, nderemo na vifijo vingi sana na maelfu ya wananchi wa Karatu katika uwanja wa mazingira bora wilayani Karatu. Ambapo ni muendelezo wa ziara yake katika kupokea...
  19. JamiiForums Tanzania Sababu kuu 2 kwanini viongozi wa CCM hawataki kuachia Dola.

    Hello! Huwa nacheka sana ninaposikia watu wakiswma kuwa wataiondoa CCM kwenye kura 2025. It's like a madness. 2015 mkashindwa 2020 mkashindwa Hiyo 2025 mtawezaje? Viongozi wa CCM wanaogopa kuondoka madarakani kwa sababu kuu 2. 1. Wanajua kuwa CCM ikiondoka madarakani na mirija yao...
  20. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Taliban yapiga marufuku saluni za kike

    Saluni za nywele na urembo zinatarajiwa kufungwa wiki kadhaa zijazo hali ambayo inatarajia kusababisha ajira 60,000 kupotea. Uongozi wa Taliban baada ya kuingia madarakani Mwaka 2021 uliruhusu saluni hizo kuendelea lakini wamebadili maamuzi hayo wakati ambapo tayari wamezuia Wanawake kwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…