vinywaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Viwanda vinavyouza vinywaji kwenye chupa za plastiki vinatakiwa kuwajibika na uchafu wa chupa hizo

    Baada ya rambo kuondoka mjini, sasa uchafu uliotamalaki ni chupa za plastiki. Za maji, soda, juisi nk. Nilisikia serikali ina mpango wa kuwawajibisha wenye viwanda lakini sijajua ikoje. Uchafu huu umesambaa sana hasa kwa miji midogo ambako hakuna waokota makopo. Itafutwe namna Wazalishaji wa...
  2. JamiiForums Tanzania Vinywaji vya jumla vinapatikana wapi?

    HABARI ZA WAKATI HUU WAKUU Naimani muwazima na bukheri wa afya. Nataka kuuliza ni wapi nitapata vinywaji vya jumla(pombe hususani). Haswa vinywaji kama local beers na hivi vikali. Kuachana na Manzese ningependa kujua wale wa manzese wanapatia wapi? Na je! Hawa sales representative wa makampuni...
  3. JamiiForums Tanzania Vinywaji vinavyoongeza perfomance kwenye Show

    unishukuru Baadae... 1.Viceroy na Soda water...vichupa viwili maliza hapo kula vizuri kafinye mtu. 2.konyagi ndogo na soda water ..vichupa viwili mix na kile kinywaji chekundu cha italy utaniambia balaa lake. 3.Black and white mix na tonic kwa mbaali sana piga ya kutosha utaweka heshima...
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji kampuni zinazoweza kunitengenezea kreti za vinywaji kwe bei nafuu

    Habari wan JF. Kuna yeyote anayeweza kunipa connection ya kampuni yoyote inayotengeneza kreti za vinywaji hapa Tanzania?
  5. JamiiForums Tanzania Wachina wakamatwa wakizalisha vinywaji feki Dar?

    Kama ni mla K Vant na Moet, basi hii ni kwa ajili yako. Yasemekana hao mabwana kutoka Asia ya Mashariki wamekamatwa jijini Dar wakiwa kwenye ‘karakana’ yao la kufyatua kopi za vinywaji hivi murua. Hivi huwa wanapataje vifungashio visivyotia shaka? Kwa uchafu wa hayo madumu, huenda yanahifadhia...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuvaa barakoa nahisi mtu anaweza kupata virus vya Corona kupitia vinywaji vya kwenye cafe au bar

    Wakuu habari za siku nyingi, Nimeshtukia hii kitu sana mtu kupata virusi vya corona kupitia vinywaji Kama soda au bia kupitia njia ya wahudumu. Umevaa barakoa vizuri kabisaaa, una nawa mikono n.k, Ukienda bar unavua barakoa una agiza bia ata ukiwa peke yako. Muhudum akija anakufungulia ile...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali kuongeza kodi ya mafuta na kushusha ya vinywaji ni sawa na Muuaji anayetabasamu

    Anapotokea mtu akapandisha kodi ya Mafuta akashusha kodi ya Vinywaji na wananchi wakaridhika inaonesha ni jinsi gani tuna taifa la kinafiki kwa kiwango kikubwa. Kuna wale wauaji ambao huwa wana sura za upole na hawajengi makunyanzi wakati wakitaka kutimiza malengo yao. Hawa wanaweza...
  8. JamiiForums Tanzania Kodi kwenye Vocha na Miamala inaumiza Wananchi, ingeongezwa kwenye vinywaji

    Nawasalimu kwa salamu ya mama. Pamoja na nia nzuri ya kugharamia afya ila kiukweli kodi kwenye huduma za Simu ikiwemo miamala ya fedha siungi mkono inalenga kutuumiza. Mbona kuna vyanzo vingi hasa kwenye Vinywaji laini na vikali, kodi kwenye wapangishaji wa nyumba kubishana nk? Hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…