vijijini

Iringa Rural District (Wilaya ya Iringa Vijijini) is one of the four districts of the Iringa Region of Tanzania, East Africa. It is bordered to the north by the Dodoma Region, to the east by Kilolo District and encircles Iringa Urban District, to the south by the Mufindi District, to the southwest by the Mbeya Region and to the northwest by the Singida Region.
As of 2002, the population of the Iringa Rural District was 245,623.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Sikukuu ya Krismass ni sikukuu ya kawaida ya kijadi ya wazungu kama zilivyo sikukuu zetu za mavuno vijijini

    Sikukuu hii imekuwepo kabla ya kuhusishwa na Ukristo. Inasemekana ili ukristo ujivunie waumini ilibidi waiingize kwenye dini na kuihusisha na Yesu. Matokeo yake wazungu wengi wasio na dini walivutwa. Mimi ni mkristo, ila siichukulii siriasi licha ya huhusiswa na Yesu. Naichukulia kama Zile...
  2. JamiiForums Tanzania Wanavijiji Waipokea Zawadi ya Rais Samia kwa Shangwe Tele - Musoma Vijijini

    WANAVIJIJI WAIPOKEA ZAWADI YA MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KWA SHANGWE TELE Leo, Kituo cha Afya cha Kata ya Bugwema kimepokea Gari jipya la Wagonjwa (Ambulance) kutoka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Wanavijiji kutoka Kata hiyo yenye vijiji vinne (Bugwema, Kinyang'erere, Masinono na...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini serikali haitaki wananchi wa vijijini wakatumia nishati safi ya kupikia kwa gharama ya shilingi sifuri?

    Tunashuhudia serikali ikigawa mitungi ya gesi vijijini ambako wananchi wanauwezo wa kupata nishati safi bila gharama yoyote. Wafugaji na wakulima wanayo mabaki ya vyakula na samadi ambayo yanaweza kutumika kutengeneza nishati safi, kinachohitajika ni serikali kuwapa vifafaa vinavyohitajika...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo Apongeza Vijana 32 wa Musoma Vijijini Waliotembea kwa Miguu Kutoka Butiama - Mwanza

    MBUNGE WA JIMBO APONGEZA VIJANA 32 WA MUSOMA VIJIJINI WALIOTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA BUTIAMA HADI MWANZA Leo ilikuwa siku ya Kikao cha Baraza la Vijana wa CCM (UVCCM) wa Wilaya ya Musoma Vijijini. Kikao kimefanyika Kijijini Murangi, Makao Makuu ya Chama Wilaya Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Mbeya Vijijini kata ya Iwiji umeme unakatika mara kwa mara, mafundi wakija kutengeneza wanadai malipo kutoka kwa wananchi

    Mkoa wa Mbeya, wilaya ya Mbeya Vijijini, kata ya Iwiji baadhi ya vitongoji tuna tuna umeme wa REA, ambao umekuwa kero kubwa kwetu kwani hukatika mara kwa mara. Muda mwingine hata ndani ya dakika 5 unaweza kata na kurudi mara mbili, bila kuambiwa chanzo ni nini. Pia inapotokea kuna shida...
  6. JamiiForums Tanzania CRDB Yafungua Tawi Lake Musoma Vijijini

    CRDB YAFUNGUA TAWI LAKE MUSOMA VIJIJINI Mgeni Rasmi: Ndugu Gerald Musabila Kusaya Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara Mahali: Kijijini Kwibara, Kata ya Mugango Leo, Alhamisi, 19.12.2024 Benki ya CRDB imefungua Tawi lake Kijijini Kwibara, Kata ya Mugango. Mgeni Rasmi alikuwa Ndugu Gerald Musabila...
  7. JamiiForums Tanzania Tangazo kwa wale wote mtasafiri kutoka mjini kwenda vijijini, hapa kuna mambo ya msingi ya kuzingati

    🇹🇿TANGAZO TANGAZO.🇹🇿 Kwa wale mnaokuja kula christmas vijijini zingatia yafuatayo: 1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 2 usiku hivyo mkae kwa kutulia. 2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako...
  8. JamiiForums Tanzania Utoaji wa Huduma za Afya Vijijini Mwetu Unaendelea Kuboreshwa - Wanavijiji Wapewa Zawadi za Krismasi

    UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA VIJIJINI MWETU UNAENDELEA KUBORESHWA - WANAVIJIJI WAPEWA ZAWADI ZA KRISMASI Utoaji wa Huduma za Afya ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini unaendelea kuboreshwa. Ratiba za uzinduzi wa utoaji wa Huduma za Afya vijijini mwetu: (i) Tarehe 6.12.2024 Zahanati ya Kijiji cha...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa wale mnaokuja kula Christmas vijijini, zingatieni yafuatayo

    1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 12 jioni baada ya kutoka shamba, acheni shobo. 2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako anaye deka-deka. 3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga, ndoo ya maji kutoka...
  10. JamiiForums Tanzania Dini zimefanya wananchi wa Kinole - Morogoro Vijijini kuwa Wapumbavu

    Wiki hii nilifika kijiji cha Kinole kuangalia uwezekano wa kununua mananasi na kuyasafirisha, kipindi naendelea na urafiti nikiwa na vijana kadhaa wenyeji wa hapo nilibaini uwepo wa mpasuko mkubwa wa kidini. Kwanza, wanakijiji waislamu wamejenga upande wao na wakristo wamejenga upande wao...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwa tuliokulia vijijini, kutukanwa kwa waganga wa kienyeji inatuumiza sana

    Kuna wimbi la watu wasiojua hata historia yao ya kiafya na ambao hawajui chochote kuhusu Waganga wa kienyeji. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili aliyeitibu jamii kwa maelfu ya miaka kabla ya kuja kwa hospitali juzi juzi tu hapa. Cha ajabu nyumbu wanathamini zaidi kilichogunduliwa juzi tu...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Walimu, haswa wa vijijini, tutapewa lini motisha kwa kupandisha kiwango cha ufaulu? Mbona Taifa Stars wanamwagiwa mahela kila leo?

    Kwa miaka kadhaa Sasa ufaulu unaongezeka tu; darasa la nne, la saba, kidato Cha pili, kidato Cha nne Hadi kidato Cha sita ni mwendo wa kufurahia ongezeko tu la ufaulu. Watu wanapiga kazi mpaka shule za serikali Sasa kukuta div I 200, kama Lindi sec, ni jambo la kawaida. Ajabu ni kuwa hakuna...
  13. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Maji yawafikia Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini

    Huduma ya maji yawafikia Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoa wa Kilimanjaro. Maji Mwaa Mwaa Mwaaaaaa Huu ni mwendelezo wa kazi ya uchimbaji wa visima 900, Hii ni Leo Jumapili Nov 10, 2024 na huu ni mtambo wa kuchimba kisima kirefu kwenye Kata ya Mabogini...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je wajua: Wanawake wa Vijijini wanathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi kuliko Wanawake wa Mijini?

    Hii ni kutokana na utegemezi wao mkubwa kwa rasilimali za asili, kama vile maji na ardhi kwa ajili ya kilimo, ambazo huathirika moja kwa moja na mabadiliko ya hali ya hewa. Ukame, mafuriko, na mabadiliko ya misimu vinaweza kupunguza upatikanaji wa maji na rutuba ya ardhi, jambo linalowaathiri...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba kubwa kwa kilimo linauzwa Njombe Vijijini

    Habari, Kwa niaba ya ndugu yangu, wanauza eneo la shamba kubwa kwa uwekezaji wa kilimo. 1) Wapi? Ngalanga, njombe vijijini 2) Ukubwa? Ekari 100+ 3) Umbali toka barabara kuu: 5km 4) Hali yake: halijalimwa mda kidogo 5) Bei?...600k kwa ekari 1 na linauzwa lote kwa pamoja sio kwa ekari moja...
  16. JamiiForums Tanzania Suma Fyandomo (Mb) Atua Mbeya Vijijini Kuhamasisha Wananchi Kujiandikisha

    SUMA FYANDOMO ATUA MBEYA VIJIJINI KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA "Tujiandikishe ili tuweze kumchagua kiongozi ambaye kila mtu anaona anafaa, kila mtu anayo hiari ya kuchagua Kiongozi ambaye anaona anamfaa. Kujiandikisha na kupiga kura ni haki ya msingi ya kila mtu na ndiyo uzalendo wenyewe"...
  17. JamiiForums Tanzania Kima punju; mnyama apatikanaye vijijini Zanzibar pekee duniani

    Na THABIT MADAI, ZANZIBAR BAADHI ya watu wengi hawafahamu vivutio vilivyopo visiwa vya Zanzibar, ambapo huwa wanafikiria kuwa ina uzuri wa fukwe za bahari tu, La hasha, si fukwe tu bali kuna vivutio vingi vya asili ambavyo hupatikana ndani yake nakuifanya kuwa maarufu zaidi Duniani. Vivutio...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. BITEKO na EWURA, Zuio la kuwauzia mafuta wateja wenye dumu (gallon) linaleta maafa vijijini kwa wakulima wanaotumia mashine za diesel na petrol

    Kuna hali mbaya inaendelea huku vijijini baada ya sheria, kanuni au amri ya kukataza wananchi wanaoenda vituo vya kuuzia mafuta na dumu au galoni wasiuziwe mafuta. Hii sheria au amri haikuzingatia maisha halisi ya nchi masikini kama Tanzania. Kuna mashine za kusaga nafaka, kukamua mafuta...
  19. JamiiForums Tanzania MUWASA Yaendelea Kusambaza Maji ya Bomba Musoma Vijijini

    MUWASA YAENDELEA KUSAMBAZA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI Mitambo iliyofungwa Bukanga, Musoma Mjini, kwa ajili ya kuzalisha maji kutoka Ziwa Victoria ina uwezo wa kuzalisha lita milioni 36 za maji kwa siku - haya ni maji mengi mno ukilinganisha na mahitaji ya maji ya kila siku ya Mji wa Musoma...
  20. JamiiForums Tanzania Uchimbaji wa Visima Virefu vya Maji Umeanza Ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini

    UCHIMBAJI WA VISIMA VIREFU VYA MAJI UMEANZA NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI Jumatatu, 26.8.2024, Mkuu wa Wilaya ya Musoma (DC), Dkt Khalfany Haule amepokea na kushuhudia gari lenye mtambo wa uchimbaji wa visima virefu vya maji ukianza kazi kwenye Kata ya Bugwema ya Jimboni mwetu. Jimbo letu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…