Ila Samia anazidi kuongezea watu hasira tu, kwahiyo wazazi wao walitoa polisi nje kuua watoto wao?
Ndio anahalalisha yaliyotokea kwa kusema mkubwa hakosei?
Rais Samia kasema kama wao wazazi wangefanya waliyofanya vijana (maandamano) basi nchi hii isingekuwa na neema.
Amewaambia vijana...
"Kijana ambaye ni mpenda rushwa, mwizi, fisadi, tapeli, mvivu, mtumia madawa ya kulevya, asiyejifahamu, nk, aina hii ya vijana wana mchango mdogo sana katika taifa na hata kwenye chama." - Magufuli
Hii ndio aina ya vijana waliojaa CCM na CCM-B zote, chawa wasio na maana wanaouza wenzao ili...
Wakuu,
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka vijana nchini kutambua nafasi yao katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, akisema matokeo ya uchaguzi huo yatakuwa na mchango mkubwa katika mustakabali wao.
Akizungumza katika kipindi cha...
Hivi haya ni mapenzi ya kweli kwa chama au ndio uchawa aonekane kwamba yeye naye yupo?
Ila Hao wote ata mimi nikiwapa elfu mbili mbili utawasikia Mkalukungone Mwamba hakuna kama wewe Dunia hii😝😝
Wakuu, ukiwa na mtoto hakikisha anasoma na hana njaa ya kuja kukuaibisha kama hivi, ni fezea...
Aiseeeee hadi raha kuona huko mtandaoni na mtaani hali inavyofurahisha. Kilichonifurahisha zaidi ni Gen Z kuamka, wameacha kupuuzia siasa, wameacha kupuuzia masuala ya utekaji na watu kupotea, wameacha kupuuzia huduma mbovu tunazopatiwa na serikali, wameacha kupuuzia machawa wanaochangia...
Hii ni zaidi fezea.
https://www.youtube.com/live/toeAMRhpOZ0?si=V_T-07W3gayr4V6n
Vijana wanasema Gwajima ana sehemu nyingi kufikisha taarifa hiyo lakini kaamua kwenda kwenye media na kwa kufaanya hivyo ni kusababisha taharuki.
Wanasema pia Gwajima kuongelea kuhusu uchaguzi na utenguzi wa...
Vijana nchini Tanzania hususani waliopo vyuoni wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kudumisha utulivu, amani na kutojihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani.
Wito huo umetolewa na Mdau wa Maendeleo na mwanasiasa wa mkoani Iringa Shalom Robert wakati akizungumza na Umoja wa Vijana wa CCM...
Ikiwa imebaki miezi mitano kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu Vijana nchini hususani wanavyuo wametakiwa kuwa mstari wa mbele kudumisha amani na utulivu na kutojihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani.
Wito huo umetolewa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi...
Kutoka Kila chama, TAALUMA na mazingira mahitaji ya vijana wanaochipukia utu uzima yanafanana.
Vijana wote wa kitanzania waliozaliwa myaka ya 90 mpaka 99 wanahitaji hoja za mabadiriko na utekelezaji wa hoja husika.
Hivyo kunapoelekea uchaguzi wa 2025 vijana wanahitaji kusikia na kuona hoja...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameeleza kuwa anazo taarifa za baadhi ya asasi za kiraia na vyama vya siasa vinavyowapeleka Vijana wa Kitanzania kwenye mafunzo nje ya nchi ili kuwaandaa kuja kuwa sababu ya machafuko na vurugu ndani ya nchi, akieleza...
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Chuo Kikuu cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka, na mdau wa maendeleo Musoma Vijijini, Muinja Maingu, amesema pamoja na vijana kuwa kundi kubwa katika jamii, bado wamekuwa na ushiriki mdogo katika siasa na kuwaachia...
Wakati Tume ya Huru ya Uchaguzi nchini (INEC) ikiendelea na uandikishaji wa daftari la kudumu la wapigakura katika mikoa mbalimbali, vijana wametakiwa kuwa mstari wa mbele kujiandikisha ili wapate haki hiyo ya msingi.
Hayo yamesemwa leo Alhamisi Machi 13, 2025 na Mjumbe wa Baraza kuu la UVCCM...
Wana JF, hebu tuweke mawazo mezani. Fikiria upo chumba kimoja na Rais Samia Suluhu Hassan na Dk. Hussein Mwinyi kwa dakika 3.
Kama kijana chini ya miaka 35, unapata nafasi ya kushauri jambo moja tu, na wanakuhakikishia litatekelezwa kwa asilimia 100
Ukipewa hii nafasi, ungewashauri nini? Tupe...
Wakuu,
Baada ya umoja wa walimu wasiyo na ajira naona umoja mwingine wa vijana wasiyo na ajira umeanzishwa, umoja huu ukiwa unahusisha kada zote nchini ili kupaza sauti juu ya maslahi yao.
Pia soma: Baada ya bomu la vijana wasiyo na ajira naona mgomo mwingine kutoka kwa kundi la vijana...
Wakuu asalaam aleykum!
Nguvu ya taifa lolote huwa ni vijana, katika rika hili wanaweza kufanya mambo mengi kwa usahihi na nguvu; kuanzia kufikiria kibunifu, kutekeleza mipango, nk. Mfano enzi ya akina Mwlm. Julius Kambalage Nyerere, Warioba, nk.
Lakini pia nchi zilizoendelea, gunduzi nyingi...
Mhandisi Ndolezi Petro, Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira kutoka ACT Wazalendo, ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini katika uchaguzi wa 2025.
Akizungumza Januari 16, 2025, kijijini Nguruka, alisisitiza dhamira yake ya kushughulikia...
Tunapoelekea uchaguzi wa 2025 nakuomba mama Samia na Serikali yako itunge sheria na kubadili katiba ya kuruhusu mgombea binafsi ili vijana tusio na maokoto tupate nafasi ya kugombea udiwani, ubunge na Urais.
Kwa hali ilivyo kwenye vyama vya siasa ni ngumu sana kupenya kwa sababu ya wajumbe...
Jumanne, saa 3 hii tayari watu wamekaa vijiweni wanajadili Simba na Yanga. Hapa ndiyo nchi yetu ilipofikia, vijana kutumia muda mwingi kubishana kuhusu nani amesajiliwa na timu gani, analipwa kiasi gani wakati maisha yao yapo hohehahe.
Nchi ina hali mbaya sana kama kijana akitoka tu kuamka...
Friends, ladies and gentlemen, ndugu zangu wakusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao.
Njooni taratibu, njoni pole pole. Pupa si kitu kizuri sana. Vyama vyenu vinawatazama, viongozi wenu na wanachama wenu wanawapima kwa nidhamu, heshma na uadilifu mnao uonyesha.
Kumbukeni bado kuna viongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.