vigogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Dk Nchimbi aingia kwenye historia ya vigogo waliotimuliwa CCM kisa kutofautiana na Rais, chama

    Siku mbili baada ya Dk Emmanuel Nchimbi kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais, hatimaye CCM imemfukuza uanachama. Taarifa ya kufukuzwa kwa Dk Nchimbi ilitolewa saa 4:30 usiku wa Agosti 26, 2026 na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Asha-Rose Migioro katika ofisi ndogo za makao makuu Lumuumba Dar es...
  2. JamiiForums Tanzania Kuwa Mkweli Kunaponza!, Nilidhani Unawa Cost Malofa na Makapuku Tuu, Kumbe Hata Vigogo Wakubwa kama Huyu!. Kosa Lake Nini?, Au ni Kuwa Mkweli Sana?!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali... Japo najua mtu ukiwa mkweli sana, sometimes ukweli unaweza kukuponza!, ila nilidhani ukweli una wacost malofa tuu na makapuku, sikujua kama unaweza kuwaponza wakubwa kama Balozi Polepole, Polepole alipoanza kuusema ukweli wake, mimi nilimshauri sana tuu...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kuondoka kwa OCD Matagi kwazua shangwe Arusha: Bar zafurika, wananchi wafurahia uhamisho

    Kuondoka kwa Matagi kwazua shangwe Arusha: Bar zafurika, wananchi wafurahia uhamisho ARUSHA — Hatua ya kuhamishwa kwa aliyekuwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Arusha (OCD), Georgina Matagi, imezua mjadala mkubwa jijini Arusha, huku baadhi ya wananchi, waandishi wa habari na askari wakidai kupokea...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lissu kwa Heche imezima kabisa ndoto ya vigogo wa CHADEMA waliopanga kumvuruga Heche kupitia Baraza Kuu

    LIssu anasoma magazeti kama mshtakiwa wa kisiasa. Anajua fitina zinazoendelea. Lissu anajua mapandikizi ya Serikali ya CCM walioko kwenye chama chake. Kauli aliyomwambia Heche mahakamani kwamba "UNAFANYA KAZI ILIYOTUKUKA" Siyo kauli ya bahati mbaya hata kidogo. Ni ujumbe aliotafakari na...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Fumbo la pendekezo la vikwazo vya Marekani: nyumba za vigogo.

    Zile za chini ya carpet, wadau ati kuna vigogo wana nyumba Marekani? Tujiulize.!
  6. JamiiForums Tanzania Vigogo CHADEMA wadaiwa kukiuka amri ya mahakama, wafunguliwa kesi

    : Katika hali isiyotarajiwa, viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaweza kujikuta kwenye wakati mgumu baada ya uwepo wa taarifa zinazodai kuwa wamefunguliwa kesi nyingine ya jinai kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakidaiwa kukiuka...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Vigogo wengi walikuwa maskini, walipopata makalio yakalia mbwata

    Hali yenu ipoje wandugu zangu? Kwa kweli, nikirudi nyuma mpaka era ya JPM, na nikirudi nyuma mpaka era ya Nyerere, napata picha kamili Wengi wa wakazi (high government seniors) walioishi yale maeneo ya Upanga na Oysterbay ndiyo walioongoza kwa kutumbuliwa na JPM. Why? Sababu kuu ni ubinafsi...
  8. JamiiForums Tanzania Vigogo wa CCM na watoto wao wanajipongeza tuu na ubunge wa viti maalum

    Eeee nacheka kama mazuri Ooo nimesahau kusalimia siku nyingi sana sijarudi toka uzi wangu uufutwe wa baba mwenye nyumba . Leo naangalia wabunge anzia wa kuchaguliwa ,wa viti maalum Hadi mwisho ni mtot wa Kigogo wa juu hadi wa mtaa ndio wabungee . Na kubwa zaidi ni nimeona tangazo la Jeshi la...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya vigogo CHADEMA kukiuka amri ya Mahakama leo Oktoba 28

    Kutoka kwenye chumba namba tatu (3) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumanne Oktoba 28.2025 kesi ya kukiuka amri ya Mahakama inayowakabili viongozi waandamizi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania Bara John Heche inaendelea. Soma pia: Kesi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wenje, naona wameisha, Bado Mbowe sasa. Au mnasemaje kuna " vigogo" bado Chadema watahama?

    Bado Mbowewe. Namshauri Mbowewe asifanye hivyo. Bado akitubu na kumrudia Mungu anaweza akawa na mawazo chanya. Najua haitajiki na walio wengi, but time heals! Akienda CCM ni uchuro! Ya Chauma yameisha....DEAD ALREADY
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Said Mohamed na wenzake wataka viongozi CHADEMA kukamatwa kwa kukiuka amri ya mahakama

    Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya 1. Mhe. John Heche 2. ⁠Mhe. John Mnyika 3. ⁠Hilda Newton 4. ⁠Twaha Mwaipaya 5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema. Maombi hayo...
  12. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna dalili 'Vigogo' wanajigawia bila kufuata taratibu eneo la Tanganyika Packers kipande cha ufukwe wa bahari

    Nawasilisha hoja yangu ambayo nimekuwa nikitafuta muda wa kuileta hapa jukwaani kama dokezo, ili kama mamlaka zitakuwa na uwajibikaji, vifuatilie hususan idara yetu na TAKUKURU. Kama tunavyofahamu, eneo la Tanganyika Packers lililopo Kawe, Dar es Salaam, kwa sasa linamilikiwa na Serikali ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Haya ndiyo madudu yanayofanywa na Vigogo wa Afya Halmashauri ya Mji Korogwe, Tanga, Serikali ichukue hatua

    1. Kuna mazingira ya Rushwa ya ngono kwa Watumishi wao, wakati ambao watumishi wakidai stahiki zao. 2. Kuchepusha dawa za Serikali kupeleka kwenye maduka yao ya dawa, na hivyo kusababisha uhaba wa dawa katika Hospitali ya Mji Korogwe. 3. Kudai 10% pindi Mtumishi anapohamishwa kutoka kituo...
  14. JamiiForums Tanzania Kivuli cha Tuhuma Kinachowakabili Baadhi ya Vigogo wa CCM

    Tanzania Abroad TV @AbroadTanzania 1. Mkataba wa kifisadi wa ITPL ambao unaihusu kampuni ya Tanesco. 2. Mikataba ya kifisadi ya kufua umeme na kuliuzia shirika la Tanesco; ufisadi wa mikataba ya Richmund, Dowans, Symbion, na mingineyo; 3. Ufisadi wa kutisha uliofanywa na kigogo wa CCM huko...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

    taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kuna clip ya dada mmoja anaelezea kifo cha Mwendake, mazingira yake na kuna vigogo kawatuhumu kwa kuwataja majina

    Kuna clip ya Dada mmoja anaongea kwa hasira kuhusu mazingira ya Mwendazake kufariki huku akitaja baadhi ya vigogo anaowatuhumu kuhusika akiwepo Mstaafu mmoja. Hii clip bila shaka ni mpya na ni wazi wa nchi hii kuna mambo mazito yanaendelea. Kwakeli nimeshangaa sana na sidhani huyu dada kama...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Vigogo wa CCM Waliopita bila Kuwa na Wagombea wenza ndani ya chama au bila kupingwa mchujo wa kuwania Ubunge uchaguzi mkuu 2025

    Hawa ndiyo Wabunge waliopitishwa bila kupingwa kuwania kuwania ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwa hawakuwa na wapinzani wowote kutoka ndani ya chama hicho. Wamepitishwa moja kwa moja kutokana na kukosekana kwa wagombea wengine waliotia nia katika...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Vigogo 3 wa CCM wajipanga kwenda mahakamani kupinga uteuzi wa mgombea urais kwa tiketi ya CCM

    Polepole ameamsha hasira miongoni mwa wanaccm walio wengi. Na hivyo kupelekea vigogo 3 kujipanga kwenda mahakamani kuzuia uteuzi wa mgombea urais kwa madai kuwa mchakato haukufuata katiba, kanuni na taratibu za chama chao. Endapo shauri hilo litafunguliwa, kuna uwezekano mkubwa CCM ikafuata...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Samia anaondoa vigogo wote wa juu🧕🤦🏾‍♂️

    Wote wameondoka kwa shinikizo kwa habari za ndani. Hawa ndiyo walikuwa viongozi wa juu kabisa Makaumu wa Raisi Mpango Waziri Mkuu Majaliwa Spika Ndugai
  20. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi Baada ya uchaguzi 2025 vigogo watakoma kuingilia maamuzi ya idara

    Kuna kila hali tangu JPM atutoke viongozi wenye nguvu kwenye mfumo wamekuwa wakitumia nguvu na ushawishi wao ku diverse mapendekezo ya idara jambo sasa limekuwa ni hatari na kitisho cha usalama maana idara inafanya kazi ngumu kulinda uhai wa taifa na ukisha waingilia hawa jamaa na kuweka siasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…