vigae

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N'yadikwa

    Wakuu vigae vya kuezekea Zanzibar ni nafuu? Huku bara bei kali sana 40,000?!

    Yaani kigae kimoja 40,000? Kwamba nikihitaji vigae 2,000 nalipa almost 80,000,000?! Nilitaka nimshauri huyu jamaa aagize China ila nikaona kwanini aende mbali. Mwenye kufahamu Zanzibar bei ya kigae cha bati sand coated bei gani.
  2. Adam Clark

    Kwa wanaohitaji mafundi bora wa vigae (tiles)

    WEKA TILES KISASA NA KWA UBORA WA HALI YA JUU! Tunatoa huduma za kuweka tiles za kisasa kwa nyumba, ofisi, migahawa na maeneo mengine yote. Tuna uzoefu, kasi, na tunazingatia ubora! Bei ni rafiki kwa mteja—huduma ni ya kitaalamu! Piga:0683336444 WhatsApp: 0784075326 Dar es salaam Huduma bora...
  3. K

    Naomba kujua bei ya Tiles

    Wanajamvi napenda kujua bei ya Tiles Twyford au Goodwill kwa dar es salaam 40×40 25×40 Na skating tiles
  4. Uhakika Bro

    Je, Tanzania ni kiwanda kipi kinajishughulisha na uchongaji mawe kupata meza, vigae etc?

    Naomba kuuliza: Hizi rasilimali zote za milima na mawe je tunapondea tu kokoto? Au kuna kiwanda kinatengeneza bidhaa kama hizi. Tungeweza kutumia fursa kutengenezea fanicha imara sana. Mambo ya meza za jikoni, vigae na vitu luxury vinavyoweza kuchongwa toka katika mawe mojakwamoja, je...
Back
Top Bottom