Habari wakuu,
Course ya Ordinary Diploma in Heavy Duty Equipment Engineering inayotolewa katika chuo cha ufundi arusha (ATC) ambayo ina miaka 5 toka iyanzishwe inapitia magumu sana kwa wanafunzi wanayosoma kwasababu hakuna mitambo ya kujifunzia uliopo ni fuvu tu haifanyika kama ilivyo hapo...
Rais Samia amesema Kiswahili kina uwezo wa kuwaunganisha Waafrika na kupendekeza kitumike kama lugha ya mawasiliano, elimu na biashara katika nchi za Afrika, ikiwemo Comoro.
"Lugha pekee ya Kiafrika inayoweza kutuunganisha au kuunganisha watu wetu ni kiswahili, hivyo ilikujenga umoja nitumie...
Habari wadau,
Kwanza nianze kwa kutafakari kwanini shule za serikali haziongozi kwenye matokeo, kubali kataa sababu ni hizi.
1. Miundombinu na vifaa vya kufundishia.
2. Ufuatiliaji wa wanafunzi na mienendo ya walimu.
3. Mchakato wa kuwapata walimu na kuwafuatilia kwa ukaribu.
4. Mishahara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.