video

  1. JamiiForums Tanzania Ali kiba video is out (mshumaa)

    Ali kiba video is out (mshumaa)
  2. JamiiForums Tanzania Video: Makonda aumbuka , uongo wake dhidi ya Mdee kuhusu barabara ya Makongo wakwama

    Mh Halima Mdee alishapeleka maombi ya kujengwa kwa barabara hiyo bungeni , katika vikao vilivyoongozwa na Naibu Spika Tulia Ackson. UKIWA MUONGO JITAHIDI USIWE MSAHAULIFU Jionee mwenyewe
  3. JamiiForums Tanzania IGP Sirro amtaka kijana anaitwa Shabani anaeonekana kwenye video akitishia mtu mwingine kwa bastola kujisalimisha polisi haraka sana

    ==== Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro amemtaka kijana aliyefahamika kwa jina la Shaban anayeonekana kwenye kipande cha video akimtishia mwenzake kwa bastola kuripoti kituo cha polisi mara moja na kusalimisha silaha yake. Update 2. MTUHUMIWA AKAMATWA.
  4. JamiiForums Tanzania Lema: Magufuli ogopa wanao kupigia makofi na mapambio wanakupoteza kuwa makini nakushauri kwa mara ya mwisho

    Asante sana Mbunge Lema umenena mambo mazuri sana. Hata mimi , kama nimekuelewa vizuri, naona maendeleo ambayo yako nchini ni maendeleo ya vitu na sio maendeleo ya watu na ambayo sio future ya watanzania. Rais Magufuli ana tuaminisha sisi kuwa analeta maendeleo ya watu. Wakati ukweli sio hivyo...
  5. JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe sasa rasmi CCM. Huenda akaomba nafasi yoyote 2020 kupitia chama hicho

    Jionee mwenyewe
  6. JamiiForums Tanzania Video : Afande Sele alilia bangi kuhalalishwa

    Msikilize kwa makini
  7. JamiiForums Tanzania Video: Hawa wanafanya nini uwanjani?

    jionee mwenyewe
  8. JamiiForums Tanzania Hii inanigusa sana kutoka moyoni, sijui wewe ni ipi

    Kwa kawaida wimbo mzuri ni ule ambao huburudisha nafsi yako, na sio fulani akiupenda lazima na mimi niupende, mfano kuna mtu anapenda nyimbo ya U.S kwa sababu fulani anaipenda au anaona kupenda nyimbo za ulaya ndo ujanja, Kila binadamu na hata wanyama kuna vitu hupenda kulidhisha nafsi yao...
  9. JamiiForums Tanzania Hii inanigusa sana kutoka moyoni, sijui wewe ni ipi

    Kwa kawaida wimbo mzuri ni ule ambao huburudisha nafsi yako, na sio fulani akiupenda lazima na mimi niupende, mfano kuna mtu anapenda nyimbo ya U.S kwa sababu fulani anaipenda au anaona kupenda nyimbo za ulaya ndo ujanja, Kila binadamu na hata wanyama kuna vitu hupenda kulidhisha nafsi yao...
  10. JamiiForums Tanzania Hii inanigusa sana kutoka moyoni, sijui wewe ni ipi

    Kwa kawaida wimbo mzuri ni ule ambao huburudisha nafsi yako, na sio fulani akiupenda lazima na mimi niupende, mfano kuna mtu anapenda nyimbo ya U.S kwa sababu fulani anaipenda au anaona kupenda nyimbo za ulaya ndo ujanja, Kila binadamu na hata wanyama kuna vitu hupenda kulidhisha nafsi yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…